Ujenzi wa Bwawa la Umeme Rufiji, Je ISO 9001:2015 & ISO 45001:2018 Zilifuatwa?

Ujenzi wa Bwawa la Umeme Rufiji, Je ISO 9001:2015 & ISO 45001:2018 Zilifuatwa?

Huko Arusha Kisongo nako kuna bwawa la Mwl Nyerere?, mbona mafuriko ni makubwa?.
Maeneo mengi ya Tanganyika mwaka huu hali ni tofauti, mvua zimenyesha nyingi kupitiliza.

Huko Rufiji mafuriko hayajaanza jana wala juzi, yapo miaka na miaka.

Pia kama kisingizio ni bwawa, vipi hilo bwawa lisingekuwepo hayo maji yanayoleta maafa yangeelekea wapi kama si kwenye makazi ya binadamu?.

Acheni siasa za majitaka.
Usitoke nje ya mada. Jielekeze kwenye ISO 9001: 2015 na ISO 45001:2018.

Kama huzielewi waachie wahandisi na wataalamu wa environmental studies watusaidie
 
Google auto translator :

By Stuxnet

Rufiji hydro Power Dam Construction in Tanzania, Were the ISO 9001:2015 & ISO 45001:2018 standards strictly adhered to?​

We all know what is going on at the Julius Nyerere Hydro Power Dam that it is not good for the people of Rufiji.

I have decided to look at this problem from a different angle. There are these two ISOs here:
1. ISO 9001:2015, is a worldwide standard that sets requirements for a strong Quality Management System. It details specific processes, procedures and activities that organizations must create, implement, maintain and improve in order to successfully manage making products or delivering services


2. ISO 45001:2018 health and safety management standard. ISO 45001 is an international standard for health and safety at work developed by national and international standards committees independent of government.

Construction experts and TANESCO engineers are kindly invited here to share what we don't know
Asante kwa kuiweka kwenye lugha ya Malkia, it makes more sense
 
Usitoke nje ya mada. Jielekeze kwenye ISO 45001: 2015 na ISO 9001:2018.

Kama huzielewi waachie wahandisi ma wataalamu wa environmental studies watusaidie
Sio kila kitu kwenye maisha kinahitaji waliokariri makaratasi, vingine vinahitaji kuona tu na kutambua kipi ni kipi.
 
Mafuriko huko Athi River Kenya juzi nayo sababu ni Nyerere Hydro? Mafuriko mto Congo huko Congo DR ni bwawa la Nyerere? Mafuriko huko Bujumbura Burundi hadi ziwa Tanganyika kufurika na kuzamisha nyumba za watu chanzo ni Rufiji? Mafuriko mengine ambayo yametokea Russia majuzi na kuzamisha vijiji chanzo ni mto Rufiji na Bwawa la Nyerere?

Vv
Mkuu ongelea mada ya ISO na ujenzi wa bwawa!! Mambo ya mafuriko tunajuwa ni jambo la asili (natural phenomenon)
 
Binafsi standards za Tanzania ni nzuri kwa upande wake ila ukilinganisha na standards za kimataifa hapo tumepigwa mbali sana.
 
Sio kila kitu kwenye maisha kinahitaji waliokariri makaratasi, vingine vinahitaji kuona tu na kutambua kipi ni kipi.
Hivi kwa nini hatuheshimu taaluma, unasema waliokariri makaratsi, wakati mambo yakienda mrama,mnataka hao walio kariri makatatasi walete majibu
Kumanina zenu
 
Unadhani hizi standards za:
TZS 1477:2020/EAS468:2019(E)
TZS 2464:2020/ EAS94: 2002(E)
Zinaendana na ISO kwenye kipengele cha ISO 9001:2015. Sisi tumezichambua chambua kiasi kwamba hakuna hata uhusiano wowote.
 
Ndugu Nyachina tuwe wawazi na tuache kuwa watumwa wa viongozi au serikali bali tueleze kwa uwazi tatizo na watendaji wawajibike ile wajenge tabia ya kuheshimu wananchi na hata inapotokea wamefanya makosa wawe na tabia ya kukiri na kujirekebisha.

Nirudi kwenye hoja yako, ni kweli kabisa kuwa mafuriko huko Rufiji yamekuwa yakitokea lakini haijawahi kufikia makubwa na yenye madhara kiasi kama hiki, pamoja na kuwa zimekuwepo mvua kubwa sana (rejea El nino zilizopita) bado wanasema maji yalikuwa kidogo tofauti na mvua hizi ndogo ambazo zimeleta mafuriko makubwa Sana.

Kwa nini bwawa , bwawa lilikusanya maji mengi Sana na yamefunguliwa kwa ghafla kutapishwa, hivyo basi kasi kubwa ya maji na wingi wa maji hayo kutoka ktk bwawa yameungana na maji mengine ya mvua kuwa mengi zaidi yenye kasi kubwa na kuweza kusambaa hata katika sehemu ambazo zilikuwa hazilpati mafuriko.

Tunaeleza haya si kwa nia mbaya bali kupinga uongo wa viongozi ambao umekuwa tabia yao ya kutuumiza badala ya kurekebisha makosa huku wanatuona wajinga. Kumbuka mkuu wa mkoa wa wilaya ya Rufiji alisema wazi kuwa watu waondoke kwa sababu bwawa lilikuwa limejaa na kwamba walikuwa wanatapisha, lakini leo ninyi mnaojifanya wafia vyeo badala ya uhai wa wananchi mnaona kuwa wanataka uwajibikaji wote ni chadema siyo kweli tubadilike
Upo eneo la tukio au umeangalia clip ya sekunde 22 ukiwa umelala na kuja kucoment?
 
Hivi kwa nini hatuheshimu taaluma, unasema waliokariri makaratsi, wakati mambo yakienda mrama,mnataka hao walio kariri makatatasi walete majibu
Kumanina zenu
Msamehe bure huyo. Kuanzia mwanzo nimesema wahandisi na wataalamu wa mazingira ndiyo watupe madini humu. Ajabu hata wataalamu wa sosholojia nao wanabishana
 
Mafuriko katika bonde la Rufiji yamekuwepo miaka mingi pindi mvua zinapoongezeka au kuwa nyingi.
Hapo hakuna cha ISO wala nini.
Hata kama Bwawa lile lisingekuwepo hayo maji yanayopita bwawani yangepita wapi?
Maji ambayo yalitakiwa yajae baada ya miaka 2 yamejaa kwa miezi 4 tu. Huoni kuwa maji ni mengi sana na mafuriko lazima yangetoea hata kama kusingekuwa na bwawa.
Naona wanasiasa wanatafuta pa kutupia lawama ambazo hazipo
Mafuriko yasitokee Rufiji wakati wa elnino yaje yatokee kwenye haya manyunyu?

Sikiliza wewe inzi wa kijani, bwawa la Nyerere ndiyo chanzo cha mafuriko rufiji
 
Mafuriko yasitokee Rufiji wakati wa elnino yaje yatokee kwenye haya manyunyu?

Sikiliza wewe inzi wa kijani, bwawa la Nyerere ndiyo chanzo cha mafuriko rufiji
Mafuriko yanayotokea Geita, Mwanza, Arusha., Morogoro na kwingineko ni sababu ya manyunyu.
Hizi ni akili za kinyumbu au kuku wa kiisasa
 
Mafuriko yanayotokea Geita, Mwanza, Arusha., Morogoro na kwingineko ni sababu ya manyunyu.
Hizi ni akili za kinyumbu au kuku wa kiisasa
Tunaongelea Rufiji. Acha kujizima data.
 
Back
Top Bottom