Ujenzi wa Bwawa la Umeme Rufiji, Je ISO 9001:2015 & ISO 45001:2018 Zilifuatwa?

Usitoke nje ya mada. Jielekeze kwenye ISO 9001: 2015 na ISO 45001:2018.

Kama huzielewi waachie wahandisi na wataalamu wa environmental studies watusaidie
 
Asante kwa kuiweka kwenye lugha ya Malkia, it makes more sense
 
Usitoke nje ya mada. Jielekeze kwenye ISO 45001: 2015 na ISO 9001:2018.

Kama huzielewi waachie wahandisi ma wataalamu wa environmental studies watusaidie
Sio kila kitu kwenye maisha kinahitaji waliokariri makaratasi, vingine vinahitaji kuona tu na kutambua kipi ni kipi.
 
Mkuu ongelea mada ya ISO na ujenzi wa bwawa!! Mambo ya mafuriko tunajuwa ni jambo la asili (natural phenomenon)
 
Binafsi standards za Tanzania ni nzuri kwa upande wake ila ukilinganisha na standards za kimataifa hapo tumepigwa mbali sana.
 
Sio kila kitu kwenye maisha kinahitaji waliokariri makaratasi, vingine vinahitaji kuona tu na kutambua kipi ni kipi.
Hivi kwa nini hatuheshimu taaluma, unasema waliokariri makaratsi, wakati mambo yakienda mrama,mnataka hao walio kariri makatatasi walete majibu
Kumanina zenu
 
Unadhani hizi standards za:
TZS 1477:2020/EAS468:2019(E)
TZS 2464:2020/ EAS94: 2002(E)
Zinaendana na ISO kwenye kipengele cha ISO 9001:2015. Sisi tumezichambua chambua kiasi kwamba hakuna hata uhusiano wowote.
 
Upo eneo la tukio au umeangalia clip ya sekunde 22 ukiwa umelala na kuja kucoment?
 
Hivi kwa nini hatuheshimu taaluma, unasema waliokariri makaratsi, wakati mambo yakienda mrama,mnataka hao walio kariri makatatasi walete majibu
Kumanina zenu
Msamehe bure huyo. Kuanzia mwanzo nimesema wahandisi na wataalamu wa mazingira ndiyo watupe madini humu. Ajabu hata wataalamu wa sosholojia nao wanabishana
 
Mafuriko yasitokee Rufiji wakati wa elnino yaje yatokee kwenye haya manyunyu?

Sikiliza wewe inzi wa kijani, bwawa la Nyerere ndiyo chanzo cha mafuriko rufiji
 
Mafuriko yasitokee Rufiji wakati wa elnino yaje yatokee kwenye haya manyunyu?

Sikiliza wewe inzi wa kijani, bwawa la Nyerere ndiyo chanzo cha mafuriko rufiji
Mafuriko yanayotokea Geita, Mwanza, Arusha., Morogoro na kwingineko ni sababu ya manyunyu.
Hizi ni akili za kinyumbu au kuku wa kiisasa
 
Mafuriko yanayotokea Geita, Mwanza, Arusha., Morogoro na kwingineko ni sababu ya manyunyu.
Hizi ni akili za kinyumbu au kuku wa kiisasa
Tunaongelea Rufiji. Acha kujizima data.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…