E Eyeson Property Senior Member Joined Jan 23, 2018 Posts 197 Reaction score 42 Mar 6, 2025 #1 Wiki ya pili sasa kuna foleni kubwa sana, MWAUWASA mabomba yamepasuka na baadhi ya mitaa maji hakuna. Daraja halina njia ya watembea kwa miguu. Njia za michepuko za Mabatini ni mbovu na zina vumbi na barabara Hazimwagiwi maji.
Wiki ya pili sasa kuna foleni kubwa sana, MWAUWASA mabomba yamepasuka na baadhi ya mitaa maji hakuna. Daraja halina njia ya watembea kwa miguu. Njia za michepuko za Mabatini ni mbovu na zina vumbi na barabara Hazimwagiwi maji.