Eyeson Property
Senior Member
- Jan 23, 2018
- 197
- 42
Wiki ya pili sasa kuna foleni kubwa sana, MWAUWASA mabomba yamepasuka na baadhi ya mitaa maji hakuna. Daraja halina njia ya watembea kwa miguu.
Njia za michepuko za Mabatini ni mbovu na zina vumbi na barabara Hazimwagiwi maji.
Njia za michepuko za Mabatini ni mbovu na zina vumbi na barabara Hazimwagiwi maji.