Shukrani kwa mchanganuo upi naona kama kubwa sanaa hii 8MAndaa sh 8m
Hahahaaa!! Kutishana kwingi. Iyo pesa c anajenga chumba masta anapangisha kabisa.Andaa sh 8m
13m + 20m x 2 = 66mHahahaaa!! Kutishana kwingi. Iyo pesa c anajenga chumba masta anapangisha kabisa.
Hesabu ya idadi ya tofari unaweza ifafanua hii 15*3 ikiwa 66m ni mzunguko wa eneo13m + 20m x 2 = 66m
66m x 15 x 3 = 2,970
1000/40 = 25
1,970/70 = 28
2,970 x 500 = 1,485,000
2,970 × 1,000 = 2,970,000
(25 +28)×15,000 = 795,000
Kwa hizo namba harak haraka, Tz 4,000,000 inaishia kwenye kununua tofali, labour na cement ya kusimamishia tofali bila kuzingatia zege n.k
Kokoto, maji, mchanga, nondo etc bado!
Mita 20x20=Sqm 40013m + 20m x 2 = 66m
66m x 15 x 3 = 2,970
1000/40 = 25
1,970/70 = 28
2,970 x 500 = 1,485,000
2,970 × 1,000 = 2,970,000
(25 +28)×15,000 = 795,000
Kwa hizo namba harak haraka, Tz 4,000,000 inaishia kwenye kununua tofali, labour na cement ya kusimamishia tofali bila kuzingatia zege n.k
Kokoto, maji, mchanga, nondo etc bado!
1. Tafuta mzunguko wote wa fence, CMita 20x20=Sqm 400
Tofali 1560
Cement mifuko 48
Nondo 19
Ringi 70
Waya kg 5
Mbao za kukodi kwa ajili ya Beam na nguzo sh. 130,000
Kokoto sh. 270,000
Maji sh. 160,000
Usafiri wa vifaa sh. 65,000
Mchanga gari kubwa moja
Sh. 140,000 kwa ajili ya Luva
Ufundi sh. 990,000
Hesabu hii ni nje ya plaster na Rangi
Naomba kuwasilisha.
Hiii nimesoma humu jamii forum INA maana huyu hesabu zake haziko sawaa ? Naona tofari nyingiii kuliko mwenye kiwanja hiki kikubwa zaidi
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Shukran sana nazidi kupata mwanga zaidi1. Tafuta mzunguko wote wa fence, C
C=(13m+20m)×2 = 66m
2. Toa uwazi kwa ajili ya gate la kuingilia (assume ni mita 3.5) [66m-3.5m = 62.5m]
2. Tafuta idadi ya tofali kwa kila course, N/c
N/c = 62.5m/0.48m = 130
3. Tafuta jumla ya idadi zote za tofali N, hapa sasa utaamua mwenyewe ukuta wako uwe na urefu kiasi gani. Chini unaweza ukatumia msingi wa course 5 tofali za nchi 6, juu ya msingi ukasimamisha course 8 so jumla inakuwa course 13
N= tofali 130 × mistari 13 = 1690
Jumla tofali 1690
"Course" ni mstari ama mzunguko mmoja wa tofali
NB hiyo ni kwa fence ambayo ni plain, haina yale maurembo ya uwazi kama madirisha. Kama utaamua kuweka idadi ya tofali itapungua zaidi.
Hii imeenda skonga kabisa.💯1. Tafuta mzunguko wote wa fence, C

Nimeona kuna mtaalamu kaweka tofali 130 kwa mzunguko wote wa 66m.Hesabu ya idadi ya tofari unaweza ifafanua hii 15*3 ikiwa 66m ni mzunguko wa eneo
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Tofali moja lina urefu wa sm 45, tofali mbili itakuwa sm 90. Mita moja ni sawa na sm 100. Inashindikanaje mita moja kuingia tofali mbili?Nimeona kuna mtaalamu kaweka tofali 130 kwa mzunguko wote wa 66m.
Anamaanisha zinaingia tofali 2 kwa kila mita moja kitu ambacho hakiwezi kuwa kweli.
66×15×3 ni Mzingo wa ukuta × Course 15(msingi course 5) na kupandisha course 10.
Makadirio yatakayokufanya usirudi tena dukani kuongeza tofali, hapo ni mwanzo mwisho, ila nunua kamili au namba kamili, 2900. Kati ya gala na gala unamwaga beam au tofali, inategemea hivyo!
Sio fundi, makadirio tu kulingana na namba zilizopo.
Eti fundi msingi unaochukua tofari 10501. Tafuta mzunguko wote wa fence, C
C=(13m+20m)×2 = 66m
2. Toa uwazi kwa ajili ya gate la kuingilia (assume ni mita 3.5) [66m-3.5m = 62.5m]
2. Tafuta idadi ya tofali kwa kila course, N/c
N/c = 62.5m/0.48m = 130
3. Tafuta jumla ya idadi zote za tofali N, hapa sasa utaamua mwenyewe ukuta wako uwe na urefu kiasi gani. Chini unaweza ukatumia msingi wa course 5 tofali za nchi 6, juu ya msingi ukasimamisha course 8 so jumla inakuwa course 13
N= tofali 130 × mistari 13 = 1690
Jumla tofali 1690
"Course" ni mstari ama mzunguko mmoja wa tofali
NB hiyo ni kwa fence ambayo ni plain, haina yale maurembo ya uwazi kama madirisha. Kama utaamua kuweka idadi ya tofali itapungua zaidi.
Mfuko mmoja wa cement unajenga tofali 40 mpaka 50 inategemea na ratio itakayotumika, so hapo utachukua 1050/40 ambapo utapata mifuko 27Eti fundi msingi unaochukua tofari 1050
ikiwa chini mistari 3 juu mistari 4
unaweza kuchukua mifuko mingapi ya cement
hapo kujenga msingi na tofari tu achana na mkanda wa zege naulizia kujenga msingi ambacho chini zinalala 3 juu zinakuwa 4
ikiwa jumla tofari ni 1050 je mifuko ya cement itahitajika mingapi
Hesabu hii sijui imekaaje.Hesabu ya idadi ya tofari unaweza ifafanua hii 15*3 ikiwa 66m ni mzunguko wa eneo
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Hesabu hii sijui imekaaje.
Kwangu mimi ni kama ifuatavyo.
Vidokezo
1. 6,600cm ni mzunguko wa eneo
2. Tofari moja na mota ni cm48
3. Hivyo idadi ya tofari mzunguko mmoja ni 6,600cm÷48cm = matofari 138 kwa kozi moja
4. Assume msingi una kozi 7 na ukuta una kozi 7 jumla kozi 14.
Jumla ya matofari itakuwa ni 14x238=matofari 1925
5. Tofari moja tsh1200
Kwa matofari hayo ni 1200x1925=shilingi 2,310,000
6. Cement mfuko mmoja unajenga tofari 70, so kwa tofari 1925 ni mifuko 27, bei ya mfuko mmoja 16000, hivyo gharama ya mifuko ya saruji ni 440,000
Labour cost, maji bado, mchanga bado. kama utaweka beam mifuko ya saruji itaongezeka, kokoto itahitajika lori moja, kwa haraka haraka unaweza kisia garama, itafika 4-5M
👍👍1. Tafuta mzunguko wote wa fence, C