Ujenzi wa fensi

Ujenzi wa fensi

baiser

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
1,480
Reaction score
2,239
Kuna ka eneo kangu ka urefu wa 13M kwa 20M ,eneo ni tambarare kabisa ilaa naona katavamiwa na majirani maana ujenzi eneo hilo umepamba sana moto.

Nataka nijue niandae

Tofari ngapi
Simenti mifuko mingapi
Mchanga kiasi gani
Nondo ngapi
Na je kwa uzoefu fundi atalipwa kiasi gani na eneo ni Dar es salama -kimara

N.b na kama kuna sample mbali mbali za fensi naomba
 
Hahahaaa!! Kutishana kwingi. Iyo pesa c anajenga chumba masta anapangisha kabisa.
13m + 20m x 2 = 66m
66m x 15 x 3 = 2,970
1000/40 = 25
1,970/70 = 28
2,970 x 500 = 1,485,000
2,970 × 1,000 = 2,970,000
(25 +28)×15,000 = 795,000

Kwa hizo namba harak haraka, Tz 4,000,000 inaishia kwenye kununua tofali, labour na cement ya kusimamishia tofali bila kuzingatia zege n.k

Kokoto, maji, mchanga, nondo etc bado!
 
Hesabu ya idadi ya tofari unaweza ifafanua hii 15*3 ikiwa 66m ni mzunguko wa eneo

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Mita 20x20=Sqm 400
Tofali 1560
Cement mifuko 48
Nondo 19
Ringi 70
Waya kg 5
Mbao za kukodi kwa ajili ya Beam na nguzo sh. 130,000
Kokoto sh. 270,000
Maji sh. 160,000
Usafiri wa vifaa sh. 65,000
Mchanga gari kubwa moja
Sh. 140,000 kwa ajili ya Luva
Ufundi sh. 990,000
Hesabu hii ni nje ya plaster na Rangi
Naomba kuwasilisha.

Hiii nimesoma humu jamii forum INA maana huyu hesabu zake haziko sawaa ? Naona tofari nyingiii kuliko mwenye kiwanja hiki kikubwa zaidi

1. Tafuta mzunguko wote wa fence, C
C=(13m+20m)×2 = 66m
2. Toa uwazi kwa ajili ya gate la kuingilia (assume ni mita 3.5) [66m-3.5m = 62.5m]
2. Tafuta idadi ya tofali kwa kila course, N/c
N/c = 62.5m/0.48m = 130
3. Tafuta jumla ya idadi zote za tofali N, hapa sasa utaamua mwenyewe ukuta wako uwe na urefu kiasi gani. Chini unaweza ukatumia msingi wa course 5 tofali za nchi 6, juu ya msingi ukasimamisha course 8 so jumla inakuwa course 13
N= tofali 130 × mistari 13 = 1690
Jumla tofali 1690

"Course" ni mstari ama mzunguko mmoja wa tofali

NB hiyo ni kwa fence ambayo ni plain, haina yale maurembo ya uwazi kama madirisha. Kama utaamua kuweka idadi ya tofali itapungua zaidi.
 
Shukran sana nazidi kupata mwanga zaidi

Hii imeenda skonga kabisa.💯
 
Hesabu ya idadi ya tofari unaweza ifafanua hii 15*3 ikiwa 66m ni mzunguko wa eneo

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Nimeona kuna mtaalamu kaweka tofali 130 kwa mzunguko wote wa 66m.

Anamaanisha zinaingia tofali 2 kwa kila mita moja kitu ambacho hakiwezi kuwa kweli.

66×15×3 ni Mzingo wa ukuta × Course 15(msingi course 5) na kupandisha course 10.
Makadirio yatakayokufanya usirudi tena dukani kuongeza tofali, hapo ni mwanzo mwisho, ila nunua kamili au namba kamili, 2900. Kati ya gala na gala unamwaga beam au tofali, inategemea hivyo!

Sio fundi, makadirio tu kulingana na namba zilizopo.
 
Tofali moja lina urefu wa sm 45, tofali mbili itakuwa sm 90. Mita moja ni sawa na sm 100. Inashindikanaje mita moja kuingia tofali mbili?
 
1. Tafuta mzunguko wote wa fence, C
C=(13m+20m)×2 = 66m
2. Toa uwazi kwa ajili ya gate la kuingilia (assume ni mita 3.5) [66m-3.5m = 62.5m]
2. Tafuta idadi ya tofali kwa kila course, N/c
N/c = 62.5m/0.48m = 130
3. Tafuta jumla ya idadi zote za tofali N, hapa sasa utaamua mwenyewe ukuta wako uwe na urefu kiasi gani. Chini unaweza ukatumia msingi wa course 5 tofali za nchi 6, juu ya msingi ukasimamisha course 8 so jumla inakuwa course 13
N= tofali 130 × mistari 13 = 1690
Jumla tofali 1690

"Course" ni mstari ama mzunguko mmoja wa tofali

NB hiyo ni kwa fence ambayo ni plain, haina yale maurembo ya uwazi kama madirisha. Kama utaamua kuweka idadi ya tofali itapungua zaidi.
Eti fundi msingi unaochukua tofari 1050
ikiwa chini mistari 3 juu mistari 4
unaweza kuchukua mifuko mingapi ya cement
hapo kujenga msingi na tofari tu achana na mkanda wa zege naulizia kujenga msingi ambacho chini zinalala 3 juu zinakuwa 4
ikiwa jumla tofari ni 1050 je mifuko ya cement itahitajika mingapi
 
Mfuko mmoja wa cement unajenga tofali 40 mpaka 50 inategemea na ratio itakayotumika, so hapo utachukua 1050/40 ambapo utapata mifuko 27
 
Hesabu ya idadi ya tofari unaweza ifafanua hii 15*3 ikiwa 66m ni mzunguko wa eneo

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Hesabu hii sijui imekaaje.

Kwangu mimi ni kama ifuatavyo.

Vidokezo
1. 6,600cm ni mzunguko wa eneo
2. Tofari moja na mota ni cm48

3. Hivyo idadi ya tofari mzunguko mmoja ni 6,600cm÷48cm = matofari 138 kwa kozi moja

4. Assume msingi una kozi 7 na ukuta una kozi 7 jumla kozi 14.

Jumla ya matofari itakuwa ni 14x238=matofari 1925

5. Tofari moja tsh1200
Kwa matofari hayo ni 1200x1925=shilingi 2,310,000

6. Cement mfuko mmoja unajenga tofari 70, so kwa tofari 1925 ni mifuko 27, bei ya mfuko mmoja 16000, hivyo gharama ya mifuko ya saruji ni 440,000

Labour cost, maji bado, mchanga bado. kama utaweka beam mifuko ya saruji itaongezeka, kokoto itahitajika lori moja, kwa haraka haraka unaweza kisia garama, itafika 4-5M
 
Mahesabu ya labour cost huwa yanapigwaje katika ujenzi, hususani kujenga kuta za tofali?
 
Hesabu hii sijui imekaaje.

Kwangu mimi ni kama ifuatavyo.

Vidokezo
1. 6,600cm ni mzunguko wa eneo
2. Tofari moja na mota ni cm48

3. Hivyo idadi ya tofari mzunguko mmoja ni 6,600cm÷48cm = matofari 138 kwa kozi moja

4. Assume msingi una kozi 7 na ukuta una kozi 7 jumla kozi 14.

Jumla ya matofari itakuwa ni 14x238=matofari 1925

5. Tofari moja tsh1200
Kwa matofari hayo ni 1200x1925=shilingi 2,310,000

6. Cement mfuko mmoja unajenga tofari 70, so kwa tofari 1925 ni mifuko 27, bei ya mfuko mmoja 16000, hivyo gharama ya mifuko ya saruji ni 440,000

Labour cost, maji bado, mchanga bado. kama utaweka beam mifuko ya saruji itaongezeka, kokoto itahitajika lori moja, kwa haraka haraka unaweza kisia garama, itafika 4-5M

Mfuko mmoja huwezi ukajenga tofali 70, mfuko mmoja unajenga tofali 40 mpaka 50
 
1. Tafuta mzunguko wote wa fence, C
C=(13m+20m)×2 = 66m
2. Toa uwazi kwa ajili ya gate la kuingilia (assume ni mita 3.5) [66m-3.5m = 62.5m]
2. Tafuta idadi ya tofali kwa kila course, N/c
N/c = 62.5m/0.48m = 130
3. Tafuta jumla ya idadi zote za tofali N, hapa sasa utaamua mwenyewe ukuta wako uwe na urefu kiasi gani. Chini unaweza ukatumia msingi wa course 5 tofali za nchi 6, juu ya msingi ukasimamisha course 8 so jumla inakuwa course 13
N= tofali 130 × mistari 13 = 1690
Jumla tofali 1690

"Course" ni mstari ama mzunguko mmoja wa tofali

NB hiyo ni kwa fence ambayo ni plain, haina yale maurembo ya uwazi kama madirisha. Kama utaamua kuweka idadi ya tofali itapungua zaidi.
👍👍
 
Tofali moja bei ya kuuza kwa fundi ni shs 200 au 300 kibarua ni juu ya fundi mwenyewe. Ratio nzuri ni ndoo 20 za mchanga kwa mfuko wa cement. Tofali inch 5 ni 1000 na nchi 6 ni 1100. Mchanga lori ni 100,000 na kokoto lori ni 300,000. Ukuta mzuri wastani ni kozi 10 na tofali moja lina 45cm. Hivoo andaa kama tofali 1500 maana nyingine zitalazwa! Plasta huwa ni 10,000 kwa kila mita 4. Nondo 8mm ni shs 15k 10mm ni shs 20k 12mm ni shs 25k na 16mm ni shs 45k. Cement mfuko ni shs 15k. Sururu ni shs 8000 chepe ni shs 8000 jembe shs 7000 ndoo shs 3500 mabuti shs 14000. Pipa moja la lita 200 ni shs 50,000. Binding waya 1kg ni shs 3500.
 
Back
Top Bottom