Ujenzi wa Gabion, nyumba kwa milioni 2 tu!

Vipi mkuu Hawa mafundi bongo wapo au Ni swala la kutupia wawe......

Mazingira yanaruhusu Kama uko pande za mkoa flan iv usishangae unatengeneza viota vya nyoka na wadudu hatari.......

Hizo material zinaaminika manake wire mesh ya kutengeza mabanda ya kuku mimi mwenyewe navunja kwa mkono mmoja Leo unatia tonnes za mawe. Yasijetokea ya kujitengenezea kifusi.....

Alaf ongeza hela mkuu Hilo fungu Halitoshi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wire mesh ni zile za 4.5 ml, mawe hapo unaweza piga ripu ukipenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo si wire mesh unazojua wewe zile zinaingia kutu bali hizo ni galvanized na zipo ngumu sana kama chuma cha pua..
 
Uache hela kidogo ya kununua helmet ya kutumia uwapo ndani ya nyumba yako.
 
Mawe utatoa wapi mkuu? Labour wa kupanga hayo mawe inabidi uwalipe, kingine hakikisha unaweka mattress kabla ya kuweka Gabion
Wire nenda pale kijiwe samli utapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ujenzi huu utakuwa rahisi kwa miji kama ya tabora, mwanza na mingine ambapo mawe ya aina hiyo yapo, mji kama dar es salaamitakuwa gharama kubwa maana kuyapata hayo mawe ni gharama kweli kweli, km sikosei kuagiza kokoto toka lugoba huwa ni milioni 2 hivi.

Sent using my nokia ya tochi
 
Duuuh, jamn ntajenga kwel???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo adui hawezi kukuangamiza kwa kuhujumu kiurahisi hizo mesh na kisha mzigo ukuporomekee na kuzikwa mazima?
Je mdudu ama nyoka 'akijhangila' utamtoaje kwenye hizo kokoto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado unahangaika tu hela haijawai zidi
Kuna fundi moja aliniambia kwa uziefu wao nyumba ya kuanzia milioni 10 ni imara kuliko chini ya hapo upo hapo
2m haitatosha kujenga hata msingi. Uezekaji wa zege unahitaji msingi imara na nguzo kubeba uzito huo.
 
Duh huko kokoto Lori mil2 au
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo kwa picha za watu mko mbali sana, hivi Mtanzania gani anweza kujenga hivyo? namaanisha Engineer gani anaweza kujenga hivyo? hayo mambo waachieni wenyewe.
 
Jiandae ku share maskani yako na nyoka pamoja na wadudu wengine hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…