Ndugu Watanzania,najua na kwa pamoja tunajua kuwa UJINGA ndio asili yetu..
Naomba kuwatahadharisha kuwa huwezi kujenga Nyumba kwa mfumo huo,kama utaangalia vizuri hiyo video utaona kuwa huo Ujenzi unaoitwa "Gabion" hutumika kwa mapambo au kwa kujengea uzio "Fence" sio kwa kujengea Nyumba..
Kule Ulaya ujenzi huo hutumika sana pembezoni mwa Barabara ili kuzuia maporomoko ya Udongo au kasi ya maji yasiharibu Barabara....
Msimsikilize mleta hii Mada atakuuweni,mtafukiwa na mawe mkijenga nyumba zenu kwa kutumia huo ujenziππ