Ujenzi wa gati jipya bandari ya Mtwara waendelea vizuri

mamayoyo1

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
1,011
Reaction score
1,019
1564298104529.png

Ujenzi wa Gati jipya Bandari ya Mtwara ambalo litakuwa na urefu wa mita 300 sawa na urefu wa viwanja vitatu vya mpira wa soka.
 
Safi sana. Wenye Nchi ni Wananchi
 
Ujenzi wa hii bandari ungeendana na ujenzi wa reli kutokea Songea to Mtwara port kupitia Lindi..ikiwapendeza pia iunge na ile ya Tazara inayoelekea Mbeya..

Makaa ya mawe kutokea Songea yasafiri kwa mabehewa to Mtwara port na iwepo stock pile kubwa Mtwara huku tukiongeza uzarishaji wa makaa, Pia graphite ya Lindi ipitie kwenye reli hiyo hiyo to Mtwara port. From Mtwara port makaa yanaweza fika Tanga via bahari, Dar via bahari na viwanda vya cements vikapata makaa kwa gharama nafuu..
 
Nilimsikia Waziri Mkuu Akiongelea juu ya ujenzi wa SGR toka Mtwara kwenda Mbamba Bay....

Mpaja huo kwenye avatar si mchezo

Ova
 
Tutapeleka reli chato kukuza utalii poli la Burigi kwanza
 
Nilimsikia Waziri Mkuu Akiongelea juu ya ujenzi wa SGR toka Mtwara kwenda Mbamba Bay....

yah ni jambo jema ila inatakiwa lifanyike kwa haraka sambamba na ujenzi wa bandari, sio lazima iwe SGR hata ile old gauge inafaa kwa sasa..
 
Back
Top Bottom