FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,486
- 1,874
Ndio ushauri wakoJichanganye tu.
Actually Anaerobic digestion system,imekuwepo before uwepo wa Marekani...Google ni mfumo uliotokea marekani
UKWELI KUHUSU MASHIMO YA KISASA
Siku hizi kumekuwa na MATANGAZO mengi sana yanayoelekeza kuhusu mashimo Haya Tunayoita Ya Kisasa YasiyO jaa!
Umeshajifunza nini kuhusu Suala hili?!?
Njoo Nikupe Ukweli sasa!
Ukweli ni kwamba Haya Mashimo YanaJaa Ila kujaa kwake Yanachukua muda mrefu sana! Makadirio ni Miaka 50 na kuendelea!
Tunasema Hayajai kwa sababu Yanachelewa kujaa! Ila kuna Namna ya Kujenga ili Yasijae! Sio kila eneo Ujenzi unalingana!
Kuna sehemu Zenye mawe mawe Au ni Pagumu kama Maeneo Ya Musoma...Tabora....Mwanza....na maeneo Mengine kama Dodoma au Hata hapa kigamboni Dsm....So ujenzi wa Kigamboni utakuwa tofauti na Chamazi na ujenzi wa Mwanza utakuwa tofauti na Mikoa ya Pwani hii Yote ni kwa sababu Ardhi zetu hazifanani!
Kuna watu wanasema Wanajenga kwa Laki 8 kila kitu kwao....na Wengine Wanasema wanajenga kwa million 1 kila kitu kwao halafu kuna mimi nasema Nahitaji Million 1.2 kwa Dsm na Mikoani nakuja Kwa million 1.4
Bei zinatofautiana kulingana na ugumu au wepesi wa kazi! Kuna shimo niliitwa kurekebisha mwanaNyamala Aliambiwa halijai ila likajaana alilipwa laki 8 alipoitwa Akaenda na akajaribu kusolve ikashindikana!
Nakukumbusha tu ukitaka vitu Vya Bei
Ukweli ulioweka hapo ni upi sasa...?UKWELI KUHUSU MASHIMO YA KISASA
Siku hizi kumekuwa na MATANGAZO mengi sana yanayoelekeza kuhusu mashimo Haya Tunayoita Ya Kisasa YasiyO jaa!
Umeshajifunza nini kuhusu Suala hili?!?
Njoo Nikupe Ukweli sasa!
Ukweli ni kwamba Haya Mashimo YanaJaa Ila kujaa kwake Yanachukua muda mrefu sana! Makadirio ni Miaka 50 na kuendelea!
Tunasema Hayajai kwa sababu Yanachelewa kujaa! Ila kuna Namna ya Kujenga ili Yasijae! Sio kila eneo Ujenzi unalingana!
Kuna sehemu Zenye mawe mawe Au ni Pagumu kama Maeneo Ya Musoma...Tabora....Mwanza....na maeneo Mengine kama Dodoma au Hata hapa kigamboni Dsm....So ujenzi wa Kigamboni utakuwa tofauti na Chamazi na ujenzi wa Mwanza utakuwa tofauti na Mikoa ya Pwani hii Yote ni kwa sababu Ardhi zetu hazifanani!
Kuna watu wanasema Wanajenga kwa Laki 8 kila kitu kwao....na Wengine Wanasema wanajenga kwa million 1 kila kitu kwao halafu kuna mimi nasema Nahitaji Million 1.2 kwa Dsm na Mikoani nakuja Kwa million 1.4
Bei zinatofautiana kulingana na ugumu au wepesi wa kazi! Kuna shimo niliitwa kurekebisha mwanaNyamala Aliambiwa halijai ila likajaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] na alilipwa laki 8 alipoitwa Akaenda na akajaribu kusolve ikashindikana!
Nakukumbusha tu ukitaka vitu Vya Bei cheap ujue kabisa lazima utagharamika sana baadae! Fanya vitu kwa weredi....Kama unataka vitu vizuri andaa bajeti inayoeleweka na inayotosha!
Unataka Vyoo visivyo Jaa kwa bei Ya vyoo vya kawaida huwezi kupata! Ni vizuri kujua kwamba matofari yenye uwazi sio Suluhisho la Kujaa kwa mashimo HaYa....kuna Utaalamu wake.....
Kama unahitaji huduma hii kwa Dsm utaipata kwa Million 1.2 na mikoani utaipata kwa Million 1.4 ...Tunakuja kwa nauli zetu Popote ulipo!
Cont : 0789005562
Wasap : Wa.me/255789005562
Facebook &Instagram na kwingineko natumia KELVIN HK
Kelvin HkView attachment 2938567View attachment 2938568View attachment 2938570View attachment 2938575
Short and ClearIpo hivi,Hapo huwa kuna mifumo miwili ili kuwezesha kufanya kazi.
1.Maji ya Chooni/Kinyesi huenda kwenye shimo la kwanza tu.
Ambapo kawaida kwenye kinyesi huwa kuna bakteria wanaotafuna vinyesi.
-hao baketria huwa hawataki oksijeni, ndiyo maana mashimo yake uzibwa kwa zege,hewa isiingie.
2.Maji machafu ya kuoga na Jikoni, huwa kwenye shimo lingine, upande mwingine wa shimo. Kwani haya huwa na detergent ambayo yakiingia kwenye maji ya kinyesi, Huua wale bakteria.
Umeandika mambo mengi sana, hiyo gharama inajumuisha materials zote?UKWELI KUHUSU MASHIMO YA KISASA
Siku hizi kumekuwa na MATANGAZO mengi sana yanayoelekeza kuhusu mashimo Haya Tunayoita Ya Kisasa YasiyO jaa!
Umeshajifunza nini kuhusu Suala hili?!?
Njoo Nikupe Ukweli sasa!
Ukweli ni kwamba Haya Mashimo YanaJaa Ila kujaa kwake Yanachukua muda mrefu sana! Makadirio ni Miaka 50 na kuendelea!
Tunasema Hayajai kwa sababu Yanachelewa kujaa! Ila kuna Namna ya Kujenga ili Yasijae! Sio kila eneo Ujenzi unalingana!
Kuna sehemu Zenye mawe mawe Au ni Pagumu kama Maeneo Ya Musoma...Tabora....Mwanza....na maeneo Mengine kama Dodoma au Hata hapa kigamboni Dsm....So ujenzi wa Kigamboni utakuwa tofauti na Chamazi na ujenzi wa Mwanza utakuwa tofauti na Mikoa ya Pwani hii Yote ni kwa sababu Ardhi zetu hazifanani!
Kuna watu wanasema Wanajenga kwa Laki 8 kila kitu kwao....na Wengine Wanasema wanajenga kwa million 1 kila kitu kwao halafu kuna mimi nasema Nahitaji Million 1.2 kwa Dsm na Mikoani nakuja Kwa million 1.4
Bei zinatofautiana kulingana na ugumu au wepesi wa kazi! Kuna shimo niliitwa kurekebisha mwanaNyamala Aliambiwa halijai ila likajaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] na alilipwa laki 8 alipoitwa Akaenda na akajaribu kusolve ikashindikana!
Nakukumbusha tu ukitaka vitu Vya Bei cheap ujue kabisa lazima utagharamika sana baadae! Fanya vitu kwa weredi....Kama unataka vitu vizuri andaa bajeti inayoeleweka na inayotosha!
Unataka Vyoo visivyo Jaa kwa bei Ya vyoo vya kawaida huwezi kupata! Ni vizuri kujua kwamba matofari yenye uwazi sio Suluhisho la Kujaa kwa mashimo HaYa....kuna Utaalamu wake.....
Kama unahitaji huduma hii kwa Dsm utaipata kwa Million 1.2 na mikoani utaipata kwa Million 1.4 ...Tunakuja kwa nauli zetu Popote ulipo!
Cont : 0789005562
Wasap : Wa.me/255789005562
Facebook &Instagram na kwingineko natumia KELVIN HK
Kelvin HkView attachment 2938567View attachment 2938568View attachment 2938570View attachment 2938575
Ndio mkuu!Umeandika mambo mengi sana, hiyo gharama inajumuisha materials zote?
Ni mazuri piaKuna yake wanajenga Kwa kupanga mawe tu , Yale naona yanafanya vizuri zaidi urefu fut 12 . Eneo la chini linakuwa na upana kuanzia futi 3-4 alafu juu futi 10 -12
Daah...ukweli mtupuKazi ni kipimo Cha utu
Sehemu zenye unyevu na maji maji tunatumia karavati kwenye ujenzi wa haya mashimo!Ukweli ulioweka hapo ni upi sasa...?
Kuna maeneo hiyo system inafeli, haifanyi kazi siyo kisa gharama ya chini ila ardhi yake hairuhusu kunyonya maji....
-Nenda Mikocheni Darajani au Msasani bonde la mpunga kaweke hiyo kitu uone,
Lazima muwajuze wateja penye ukweli and siyo kudanganya tu...
Hivi unapajua bonde la Mpunga πππ,Yani ukachimbe shimo bonde la Mpunga,,,Sehemu zenye unyevu na maji maji tunatumia karavati kwenye ujenzi wa haya mashimo!