greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Kuhusu altitudeSehemu zenye unyevu na maji maji tunatumia karavati kwenye ujenzi wa haya mashimo!
Altitude ni kina/urefu kutoka usawa wa bahari.
Altitude ndiyo kigezo kikubwa cha kuamua aina ya mfumo wa choo unaopaswa kutumika katika eneo husika.
Dar ina altitude ya 0 hadi 55 metres.
Maeneo ya Altitude kubwa(above 5M) kwa Dar ni
- Ukanda wa Chanika na Pugu
- Ukanda wa Goba,Mbezi juu na Mbezi Louis
- Ukanda wa Kimara hadi Kibamba
- Ukanda wa Wazo na Bunju
- Ukanda wa Kinondoni na Magomeni
- Ukanda wa Temeke na Kigamboni
- Ukanda wa Ubungo na Mabibo
- Ukanda wa Kariakoo,Upanga na Mchafukoge
- Maeneo ya mikondo ya maji ya kutoka baharini...Ununio karibia na Ras Kilomoni
- Maeneo yaliyo pembezoni mwa mashamba ya chumvi
- Maeneo yenye mikoko
- Mabonde ya mito na delta ....Jangwani ,Msimbazi.
Ndiyo maana Dar utakuta kuna maeneo vyoo ni vya Ghorofa.
Mikoa mingine hili suala wala hali haliwahusu.
Nawatahadhalisha watu wa Dar ambao maeneo yenu ni altitude ya cha chini : Huu mfumo si kwa kila maeneo, mtaingizwa chaka.