Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Ujenzi rahisi kwa kutumia interlock blocks, jenga popote, jenga sasa
Interlock blocks au bricks ni aina ya tofali zinazofungamana kwenye ujenzi bila kutumia zege(motor) kuziunganisha,zinapigwa kwa saruji na udongo wenye mfinyazi kiasi. Tofali hizi zinatumia saruji kidogo sana(10%) tu ya udongo. Hizi tofali zipo miundo mingi sana lakini nitazungumzia aina ya...