Mkuu, naomba unisaidie hapa kama hutojali. Nimefungua thread kuomba msaada wa interlock blocks hakuna aliejitokeza kunisaidia, ndio tatizo la wabongo wengi wabinafsi.
Mkuu, ni hivi!
1-Naomba kujua tofali ndogo/peving/interlock, kwa mfuko mmoja wa cement inatoa peving pisi ngapi? Na ziwe imara sana.
2-tipa ndogo ina uwezo wa kutoa peving ngapi?
3-tipa kubwa ya tani 20 inatoa peving ngapi?
4-kwa magari makubwa ya tani 5 mpaka 20, resho ya kiasi gani yanafaa kwa maana gari likipita yasipasuke?
5-Peving za aina gani nzuri, squre, pembe 4, sambusa n.k?