Swali lako liko too vague, hakuna mtu anayeweza kukusaidia. Hili jukwaa tuna kawaida ya kusaidiana, lakini na wewe inabidi uwe unasaidika.
Jieleze vizuri unataka kujenga nyumba au warehouse? Shughuli unayotaka kufanyia pia ni muhimu na ina impact kwenye gharama.