Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Wadau wa JF,naomba mwenye ufahamu wa michoro na ujenzi wa jumba (kiwanda kidogo) cha ukubwa wa 600 square meters na angalau mita 4 kwenda juu..naomba ushauri wenu na kujua gharama zake,nataka kufunga machine za kuzalisha light products.naomba ushauri wenu