Ujenzi wa kiwanda cha korosho kuanza Kenya

Ujenzi wa kiwanda cha korosho kuanza Kenya

Mwaka huu tu. Ndio Kuna shida na masoko ya korosho na viwanda. 2020 Kutakuwa na viwanda vya kutisha nchini Tanzania hasa kipindi hichi Cha Magu. Wacha mchezo
 
Hajakupangia cha kuandika, Amekukosoa.
Tatizo umeandika kwa Mihemko.
Ukisoma vizuri utawajua tu wenye mihemko, mliozowea mambo ya Tz VS Ke...
Kama hukutaka kukosolewa ungemtumia mtoa mada comment yako PM ili tusiione but as long as umeiweka public kwenye forum ukubali na kukosolewa.
Wewe hukuwa ukikosoa, bali unaponda...
Na wewe ni nani unawanyima uhuru watu wengine kuchangia!?
Matatizo yako usiyalete JF, tafuta njia nzuri ya kuyakabili...
Pia wewe ni nani hata tuogope kukukosoa....
Kaazi kweli kweli!...
 
Hizi ni juhudi za serikali tu, kuna viwanda vingine
vingi vya kibinafsi. Kenya Nut wana viwanda zaidi ya vinne, kuna Eureka Nut pia. Mwaka wa 2009 serikali ya Kenya ilipiga marufuku export ya korosho 'raw', zile 'unprocessed' kutoka Kenya, baada ya hapo vilianza kujengwa. Viwanda vya Kenya vinachomoa vitu vya export kama hivi.
Coffee-Kenya-Mark-of-Origin.jpg
all-snacks-2.png
Proudly Kenyan!
71700a45600b40c087e1f167690c99388691c787.jpg
Hata Tanzania vipo vingi kama hivyo hakuna kiwanda kinachprocess zaidi ya 100k kwa mwaka na wakulima wanazalisha 450k kwa mwaka, Kenya inawezekana sababu mnazalisha kidogo kukithi mahitaji ya viwanda.
 
Kenya ya viwanda, tunawakaribisha majirani wawe wanaleta korosho zao huku....

The construction of cashew nut processing factory in Kakanjuni, Kilifi, is expected to begin in October.
The factory with a capacity to process 10,000 metric tonnes of nuts per year is part of the Sh240 million cashew nuts and sesame value-addition project that the European Union is funding under the Visegrad Group, which comprises Slovakia, Hungary, Poland and the Czech Republic.
The project implemented by Ten Senses Fair Company targets to grow about one million cashew nut trees per year in Kilifi, Lamu and Kwale for processing at the factory.
Kilifi Governor Amason Kingi said prolonged drought in the region is one the biggest challenge affecting the project since locals depend on rain to grow the crop.
Speaking after meeting the Slovak Ambassador to Kenya František Dlhopolek, he said the county has distributed more than 200,000 free cashew nut seedlings to farmers. “The county government in collaboration with Ten Senses Fair Company also offers extension services,” he said.

Nakumbuka nilisema hapa jf kwamba WB walikuja county za huko pwani na project ya kupatia watu miche ya mikorosho iliofanyiwa research vizuri .... Wakapatia mtu yeyote anaetaka miche na mafunzo kadhaa, wanasema baada ya miaka minne au mitatu watarudi tena na watanunua hizo korosho Kwa at least 200/kg, tukaanza kuwauliza ni vizuri wanapatia watu miche alafu watarudi kununua korosho lakini mbona value addition isifanyike huko huko pwani ........ Kumbe walikua na mipango ya kujenga kiwanda pia ..... Hivi ndo donor funding inafaa kufanya kazi..... Si kusomesha watoto na kuwapeleka hospitali alafu wakishakua watu wazima hakuna kazi ya maana, wiwanda ndo kitu muhimu kuliko usaidizi wa Aina yoyote manake Baba au mama au mtoto akipata KAZI basi anaweza lisha,somesha familia yake yote ....
 
Wananunua korosho TZ zilizobanguliwa na kurepark upyaa na kusema NI korosho za Kenya. NI sawa na mbolea ya minjingu. Wananunua na kurepark na kusema NI ya Kenya
 
Wananunua korosho TZ zilizobanguliwa na kurepark upyaa na kusema NI korosho za Kenya. NI sawa na mbolea ya minjingu. Wananunua na kurepark na kusema NI ya Kenya

Hehehe nimecheka sana, mna shida nyingi sana nyie, sasa nani wa kulaumiwa hapa.
 
Hicho kiwanda chenu uwezo mdogo kwasababu Tanzania inazalisha korosho tani laki tatu kwa mwaka
Kenya ya viwanda, tunawakaribisha majirani wawe wanaleta korosho zao huku....

The construction of cashew nut processing factory in Kakanjuni, Kilifi, is expected to begin in October.
The factory with a capacity to process 10,000 metric tonnes of nuts per year is part of the Sh240 million cashew nuts and sesame value-addition project that the European Union is funding under the Visegrad Group, which comprises Slovakia, Hungary, Poland and the Czech Republic.
The project implemented by Ten Senses Fair Company targets to grow about one million cashew nut trees per year in Kilifi, Lamu and Kwale for processing at the factory.
Kilifi Governor Amason Kingi said prolonged drought in the region is one the biggest challenge affecting the project since locals depend on rain to grow the crop.
Speaking after meeting the Slovak Ambassador to Kenya František Dlhopolek, he said the county has distributed more than 200,000 free cashew nut seedlings to farmers. “The county government in collaboration with Ten Senses Fair Company also offers extension services,” he said.

Mwakani una Cha kununua.. Magu kushituka

Kwanza hadi leo kuna wakulima hawajalipwa, hili la korosho mliangukia pua, mjifunze jinsi ya kutovuruga kila kitu, mengine myaache yajiendeshe.
 
Back
Top Bottom