bhikola
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,131
- 1,663
Habari wana jamvi!!!!
Kwakweli hii inasikitisha sana pale ambapo kama taifa tunakosa vipaumbele vya kutukomboa na maadui watatu, Ujinga, Maradhi, na Che Che Mea
Iko hivi, tangu mkuu wa kaya atoe tamko la kila halmashauri kujenga maabara za sayansi kwa kila shule ya kata, kwanza niliamini kuwa kuna ruzuku imetolewa kwaajili ya kazi hiyo, au halmashauri itatumua vyanzo vyake vya mapato kutekeleza agizo hilo. lakini mambo yamekuwa kinyume, na muhanga amekuwa mwalimu wa sekondari.
kila mwalimu anatakiwa kuchangia kutoka katika mshahara wake kati ya sh 20,000 mpaka 50,000 kulingana na maamuzi ya kamati ya elimu ya halimashauri husika. Jamani, mshahara wenyewe una take home ya 230,000 hivi hii ni sawa?
kuna huyu mwingine ni mwalimu, ana mtoto sekondari, so unapita mchango wa wanafunzi (20,000) analipa, mchango wa kaya (10,000) analipa, kisha kukatwa mshahara (30,000) daah!!! "only in tanzania"
Nyerere fufuka uone mkoloni, na kaburu uliyemuacha, ambaye katumia "mabilioni" kutengeneza katiba feki, kashindwa kujenga maabara za "mamilioni"
katumia mamilioni kutangaza utalii wa watu binafsi marekani, kashindwa kujenga maabara,
walimu amkeni, sema hapana!!!!!