Ujenzi wa Maabara Tatu kwa kila shule

Ujenzi wa Maabara Tatu kwa kila shule

Mjomba Mkude

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
287
Reaction score
110
Huu ni mradi mkubwa kabisa kutokea katika shule za sekondari nchini Tanzania. Chanzo cha mapato ya mradi ni kukamuliwa wananchi.
Kwa sasa hatulali huku vijijini Mgambo na Askari Polisi wanatusaka kama operasheni tokomeza.
Mradi huu unatufanya tuwe watumwa kwenye nchi yetu.
Mbunifu wa mradi huu ni JK.
 
Back
Top Bottom