Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Majiraa yetu haya, yangekuwaje sasa utumwa wa nchi Nyerere ameukomeshaa.Nchi yenye azimio lenye tumaini , hiyo pekeyake ni mwanga wa Tanzaniaaaa .......haya hapo na endelea sasa na akiweza tunampa uraia aje kuishi kwenye nchi ya asali na maziwa yenye radha ya vanilaNawewe nae unafurahisha saa zingine, hujui kwamba tumeweza kujenga mabomba kutoa maji Lake Victoria mpaka Tabora na sasa tuna extend hadi Dodoma. Setengeti iko hapohapo karibu na Lake Victoria, it shares the same ecosystem.
Ngoja nikufundishe kawimbo kazuri:
.. Tazama ramani utaona nchi nzuriiii. nchi yenye mito mingi na mabonde ya nafakaaa...
Haya endelea halafu rudia chorus mara mbili🙂