Ujenzi wa makanisa: Picha za majengo ya makanisa

Mr DIY

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2016
Posts
1,188
Reaction score
2,553
Katika pita pita zangu nimejikuta naanza kuvutiwa na designs zinazojitokeza kila siku za makanisa, ujenzi wako una staajabisha sana, tuoneshe jengo la kanisa la huko kwenu ikipendeza tupe picha za ndani na nje hata historia kidogo.

FOJJd28WQBMABBG.jpeg

Hii ni RC Geita, hili ni jipya kabisa

FOK-LooXIAYXXqC.jpeg

FOLiA4fXIAYWjDt.jpeg

Hii ni RC Kibosho, ninasikia lina karne sasa
FOJ6kPgXoAMJDwJ.jpeg
Hapa ni St Joseph, Jimbo kuu la Dar es salaam
FOJ5C70XMAI5Ypp.jpeg

Rc Kibaha.
FOJh2KZXEAw5lba.jpeg

Rc bukoba
1647235048754.jpg
1647235041047.jpg

Hii ni Lutheran church, Lupembe Njombe, bila shaka lina zaidi ya miaka 70 sasa.
images (1).jpeg
images (2).jpeg

Jimbo katoliki Njombe
images (5).jpeg

Iringa

images (3).jpeg

images (4).jpeg
 
Hilo kanisa la kibosho bado sijaona structure ya kulipiku na Lina miaka 100+
Wamisionari wa kizungu walikwenda kwa Mangi kuomba eneo la ujenzi, Mangi hakuwataka lakini kwa kuwa alikuwa hataki ugomvi na wazungu akaamuru wapewe hiyo sehemu iliyojaa mawe ili washindwe waondoke.

Mzungu alipofika pale akaona hiyo ni fursa, akatumia mawe hayo katika ujenzi wa hilo kanisa na majengo mengine madogo madogo.
Mangi alipoona umaridadi wake, akawaomba wamjengee kwake na wakamjemgea.

Hilo kanisa ni kuta za mawe zenye unene wa almost mita moja, juu kwa ndani ni zege iliyo katika muundo wa kuvutia.
Nafikiri hata askofu anatamani ingewezekana lihamishiwe moshi mjini liwe cathedral
Lakini pamoja na uzuri wote huo kwa sasa nafikir ndio kanisa lililo na waumini wachache wanaohudhuria ibada kibosho nzima
 
Same goes kwa kanisa la Kilema ambalo ndipo alipokuwa akikaa Askofu kabla ya kuhamia Moshi Mjini miaka ya mwanzoni mwa 70. Nalo lina histori ya zaidi ya miaka 100.
 
Hilo kanisa la kibosho bado sijaona structure ya kulipiku na Lina miaka 100+
Wamisionari wa kizungu walikwenda kwa Mangi kuomba eneo la ujenzi, Mangi hakuwataka lakini kwa kuwa alikuwa hataki ugomvi na wazungu akaamuru wapewe hiyo sehemu iliyojaa mawe ili washindwe waondoke.

Mzungu alipofika pale akaona hiyo ni fursa, akatumia mawe hayo katika ujenzi wa hilo kanisa na majengo mengine madogo madogo.
Mangi alipoona umaridadi wake, akawaomba wamjengee kwake na wakamjemgea.

Hilo kanisa ni kuta za mawe zenye unene wa almost mita moja, juu kwa ndani ni zege iliyo katika muundo wa kuvutia.
Nafikiri hata askofu anatamani ingewezekana lihamishiwe moshi mjini liwe cathedral
Lakini pamoja na uzuri wote huo kwa sasa nafikir ndio kanisa lililo na waumini wachache wanaohudhuria ibada kibosho nzima
ChaggaLand yote, idadi ya watu imepungua sana kutokana na watu kuhamia mijini. Hapo waliobaki wengi ni wazeee na watoto, vijana ni wachache mno
 
Hilo kanisa la kibosho bado sijaona structure ya kulipiku na Lina miaka 100+
Wamisionari wa kizungu walikwenda kwa Mangi kuomba eneo la ujenzi, Mangi hakuwataka lakini kwa kuwa alikuwa hataki ugomvi na wazungu akaamuru wapewe hiyo sehemu iliyojaa mawe ili washindwe waondoke.

Mzungu alipofika pale akaona hiyo ni fursa, akatumia mawe hayo katika ujenzi wa hilo kanisa na majengo mengine madogo madogo.
Mangi alipoona umaridadi wake, akawaomba wamjengee kwake na wakamjemgea.

Hilo kanisa ni kuta za mawe zenye unene wa almost mita moja, juu kwa ndani ni zege iliyo katika muundo wa kuvutia.
Nafikiri hata askofu anatamani ingewezekana lihamishiwe moshi mjini liwe cathedral
Lakini pamoja na uzuri wote huo kwa sasa nafikir ndio kanisa lililo na waumini wachache wanaohudhuria ibada kibosho nzima
Kwa nini waumini wachache?
 
Back
Top Bottom