Ujenzi wa makanisa: Picha za majengo ya makanisa

Ujenzi wa makanisa: Picha za majengo ya makanisa

ChaggaLand yote, idadi ya watu imepungua sana kutokana na watu kuhamia mijini. Hapo waliobaki wengi ni wazeee na watoto, vijana ni wachache mno
Na hii inatokana na mwamko wa vijana wa kule kutafuta fursa sehemu yeyote maana kule fursa kama zimeisha. Ndio maana sitarajii mji wa Moshi kukua kuzidi pale ulipo
 
Hilo ni RC Mbulu kwa ndugu zetu wa pande zile, lina mvuto wake

65A74EEA-2922-4588-8586-3167F0F6AFA0.jpeg

ED176A77-EAA5-4FF2-AE65-3BB595758A5F.jpeg
 
sijui mleta mada unalenga kitu gani? umejaribu kuweka picha za dhehebu moja tuu, au lengo lako ni ligi? jaribu kutokuwa bias..
 
RC Bukoba linapendeza sana pia. Mara ya kwanza nilifika hapo Kanisani mwaka 2007, enzi za Baba Askofu Timanywa. Nilibahatika kukutana na rafiki pia Kanisani hapo, Sister Marcelina ambaye baadaye nilikuja kupoteza mawasiliano yake ya simu. Popote kule aliko kwa wanaomfahamu wamjulishe kuwa anatafutwa na rafiki yake wamepotezana tangu mwaka 2008
 
Urafiki na sister, nani mnufaika?
 
Muumini ananufaika zaidi kwa kujenga urafiki na Mtumishi wa Mungu; unless kama mtu hujui maana ya mtu kuitwa Mtumishi wa Mungu

Sister hana huduma ya moja kwa moja kwa waumini, tuambie vizuri unanufaika namna gani?
 
Back
Top Bottom