Kanisa la Kilutheri, Kibaha.
View attachment 2156167
Same goes kwa kanisa la Kilema ambalo ndipo alipokuwa akikaa Askofu kabla ya kuhamia Moshi Mjini miaka ya mwanzoni mwa 70. Nalo lina histori ya zaidi ya miaka 100.Hilo kanisa la kibosho bado sijaona structure ya kulipiku na Lina miaka 100+
Wamisionari wa kizungu walikwenda kwa Mangi kuomba eneo la ujenzi, Mangi hakuwataka lakini kwa kuwa alikuwa hataki ugomvi na wazungu akaamuru wapewe hiyo sehemu iliyojaa mawe ili washindwe waondoke.
Mzungu alipofika pale akaona hiyo ni fursa, akatumia mawe hayo katika ujenzi wa hilo kanisa na majengo mengine madogo madogo.
Mangi alipoona umaridadi wake, akawaomba wamjengee kwake na wakamjemgea.
Hilo kanisa ni kuta za mawe zenye unene wa almost mita moja, juu kwa ndani ni zege iliyo katika muundo wa kuvutia.
Nafikiri hata askofu anatamani ingewezekana lihamishiwe moshi mjini liwe cathedral
Lakini pamoja na uzuri wote huo kwa sasa nafikir ndio kanisa lililo na waumini wachache wanaohudhuria ibada kibosho nzima
ChaggaLand yote, idadi ya watu imepungua sana kutokana na watu kuhamia mijini. Hapo waliobaki wengi ni wazeee na watoto, vijana ni wachache mnoHilo kanisa la kibosho bado sijaona structure ya kulipiku na Lina miaka 100+
Wamisionari wa kizungu walikwenda kwa Mangi kuomba eneo la ujenzi, Mangi hakuwataka lakini kwa kuwa alikuwa hataki ugomvi na wazungu akaamuru wapewe hiyo sehemu iliyojaa mawe ili washindwe waondoke.
Mzungu alipofika pale akaona hiyo ni fursa, akatumia mawe hayo katika ujenzi wa hilo kanisa na majengo mengine madogo madogo.
Mangi alipoona umaridadi wake, akawaomba wamjengee kwake na wakamjemgea.
Hilo kanisa ni kuta za mawe zenye unene wa almost mita moja, juu kwa ndani ni zege iliyo katika muundo wa kuvutia.
Nafikiri hata askofu anatamani ingewezekana lihamishiwe moshi mjini liwe cathedral
Lakini pamoja na uzuri wote huo kwa sasa nafikir ndio kanisa lililo na waumini wachache wanaohudhuria ibada kibosho nzima
Unangoja uone nini..kwani hujaona hizo picha ziko wazi kabisa na zinajieleza.Ngoja tuone...
Kwa nini waumini wachache?Hilo kanisa la kibosho bado sijaona structure ya kulipiku na Lina miaka 100+
Wamisionari wa kizungu walikwenda kwa Mangi kuomba eneo la ujenzi, Mangi hakuwataka lakini kwa kuwa alikuwa hataki ugomvi na wazungu akaamuru wapewe hiyo sehemu iliyojaa mawe ili washindwe waondoke.
Mzungu alipofika pale akaona hiyo ni fursa, akatumia mawe hayo katika ujenzi wa hilo kanisa na majengo mengine madogo madogo.
Mangi alipoona umaridadi wake, akawaomba wamjengee kwake na wakamjemgea.
Hilo kanisa ni kuta za mawe zenye unene wa almost mita moja, juu kwa ndani ni zege iliyo katika muundo wa kuvutia.
Nafikiri hata askofu anatamani ingewezekana lihamishiwe moshi mjini liwe cathedral
Lakini pamoja na uzuri wote huo kwa sasa nafikir ndio kanisa lililo na waumini wachache wanaohudhuria ibada kibosho nzima
Hili huwa ni Kiboko.Peramiho SongeaView attachment 2156136
Watu wanaendelea kuujua ukweli nao unawaweka huru.Kwa nini waumini wachache?
Nakumbuka zamani babu zangu walikuwa wakiamka asubuhi, wakiona mlima wa kilimanjaro, wanainama na kufanya ishara ya msalabaWatu wanaendelea kuujua ukweli nao unawaweka huru.