Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Makanisa ya RC ya zamani mengi yana sura hiiPeramiho SongeaView attachment 2156136
Hapa nilifika mwaka 2018 lipo karibu na hospital ya PeramihoPeramiho SongeaView attachment 2156136
Hapa nilifika mwaka 2018 lipo karibu na hospital ya Peramiho
Na hii inatokana na mwamko wa vijana wa kule kutafuta fursa sehemu yeyote maana kule fursa kama zimeisha. Ndio maana sitarajii mji wa Moshi kukua kuzidi pale ulipoChaggaLand yote, idadi ya watu imepungua sana kutokana na watu kuhamia mijini. Hapo waliobaki wengi ni wazeee na watoto, vijana ni wachache mno
Halafu Kweli aiseeKanisa kwa aslimia kubwa za RC zipo karibu na hospital
MasterpieceHilo ni RC Mbulu kwa ndugu zetu wa pande zile, lina mvuto wake
View attachment 2156951
View attachment 2156952
RC zamani wakifika sehemu mara nyingi walijenga vitu vitatu; shule, kanisa na hispitali karibu karibuKanisa kwa aslimia kubwa za RC zipo karibu na hospital
RC Bukoba linapendeza sana pia. Mara ya kwanza nilifika hapo Kanisani mwaka 2007, enzi za Baba Askofu Timanywa. Nilibahatika kukutana na rafiki pia Kanisani hapo, Sister Marcelina ambaye baadaye nilikuja kupoteza mawasiliano yake ya simu. Popote kule aliko kwa wanaomfahamu wamjulishe kuwa anatafutwa na rafiki yake wamepotezana tangu mwaka 2008
Muumini ananufaika zaidi kwa kujenga urafiki na Mtumishi wa Mungu; unless kama mtu hujui maana ya mtu kuitwa Mtumishi wa MunguUrafiki na sister, nani mnufaika?
Muumini ananufaika zaidi kwa kujenga urafiki na Mtumishi wa Mungu; unless kama mtu hujui maana ya mtu kuitwa Mtumishi wa Mungu