mwamii
Member
- Apr 3, 2023
- 17
- 70
Habari wapendwa humu Kama kawaida ya jamii forum watu mbalimbali tumeweza kukutanishwa huku tukiwa na fani mbalimbali.
Lengo la uzi huu ni kupata fundi ambae anaweza nipa gharama za awali ujenzi wa mgahawa wa kisasa kwa kutumia mbao.
Je, ni kiasi gani ambacho napswa kuwa nacho kukamilisha ujenzi huo. Ni ujenzi tu bila kuweka gharama za vyombo na mambo mengine?