Ujenzi wa Mnara wa Babeli: Wamiliki, Wahusika, zana, material na vifaa vya ujenzi

Ujenzi wa Mnara wa Babeli: Wamiliki, Wahusika, zana, material na vifaa vya ujenzi

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Ni hivi
1. Wamiliki= Wanamtandao
2. Mkandarasi Mshauri= Mzee wa Msoga
3.Mkandarasi = Bi. Mkubwa
4. Architecture: Katiba Mbovu
5.Mafundi= Watu wa kitengo
6.Vibarua: Watu wasiojulikana
7.Mchanga=Damu za watu
8. Kokoto= utekaji
9 Cement= Madaraka
10. Tofali = Viburi
11 Mbao= Jeuri
12. Nondo= Bunduki
13. Ukuta: Sisiem
 
Back
Top Bottom