The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kwa niliko mawe ni cheap kuliko blocks kwa hiyo option huwa ni mawe au tofari za kuchoma..
Ukitumia blocks wewe unakuwa uko vizuri zaidi..
Kuhusu swali la msingi ni kwamba kila moja ikifuata taratibu za ujenzi inakuwa poa tuu, maana blocks za msingi ni tofauti na blocks za ukuta kuanzia size,mixing ratio na material contents..
Af for me Bora mawe kuliko blocks hasa sehemu yenye unyevunuevu Sana.Mawe hayafyonzi unyevu ila blocks zinafyonza so unalazimika kuweka dump proof course with block lakini kwenye mawe sio lazima.
Mwisho ujenzi wa mawe unakupa options 2 za kutumia mota ya sand cement au udongo wa kawaida ila wenye mnato wa kutosha.Pia unaweza kuyapanga mawe yenyewe bila morter na yakakaa safi kabisa like gabion packing ila tuu pale juu unaweka plimth beam.