Ujenzi wa njia nne Mbeya washika kasi

Ujenzi wa njia nne Mbeya washika kasi

Mwanongwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2023
Posts
611
Reaction score
567
Ujenzi wa njia nne katika halmashauri ya Jiji la Mbeya umeshika Kasi sana,ujenzi huo unaanzia Nsalaga Hadi Ifisi

Barabara hizo pindi zitakapokamilika zitasaidia sana kupunguza msongamani katikati ya Jiji ambao umekuwa tatizo kubwa.

Wakati huo huo tunaiomba serikali kuikamilisha mapema Barabara hiyo ili kuondokana na kero tunayoipata hivi Sasa ambapo endapo gari yoyote ikaharibaka katikati ya Barabara hasa eneo la kutoka Uyole Hadi nanenane hapo katikati, basi siku hiyo usafiri unakuwa shida kutokana na ukosefu wa Barabara mbadala katika Jiji hili.

DSC_0087.JPG

DSC_0086.JPG
Pia soma ~ Kwa kasi hii ya kurekebisha miundombinu Mbeya, tunatamani Uchaguzi uwe kila Mwaka
 
Mk

Mkandarasi Yuko speed anataka kuiwahu mvua,maana iliyonyesha siku mbili tu imemtesa balaa
 
Back
Top Bottom