Ujenzi wa njia nne katika halmashauri ya Jiji la Mbeya umeshika Kasi sana,ujenzi huo unaanzia Nsalaga Hadi Ifisi
Barabara hizo pindi zitakapokamilika zitasaidia sana kupunguza msongamani katikati ya Jiji ambao umekuwa tatizo kubwa.
Wakati huo huo tunaiomba serikali kuikamilisha mapema Barabara hiyo ili kuondokana na kero tunayoipata hivi Sasa ambapo endapo gari yoyote ikaharibaka katikati ya Barabara hasa eneo la kutoka Uyole Hadi nanenane hapo katikati, basi siku hiyo usafiri unakuwa shida kutokana na ukosefu wa Barabara mbadala katika Jiji hili.