Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Haha..sureSubiri wataalam wanakuja ila mambo mazuri na ya hakika yanahitaji gharama. Wataalam nao wanalipwa maana mkono mtupu haulambwi
Finishing itanipiga chini nafikiri..Haitatosha.
Mimi siyo fundi ila nimeshiriki ujenzi kwa muda, milioni 25 kwa nyumba unayoifikiria haitoshi.
Ila utajenga mpaka kufikia kiwango cha kuweza kuhamia na kuishi.
YEP!Finishing itanipiga chini nafikiri..
Hautaweza kujenga ukutaFinishing itanipiga chini nafikiri..
U mean fence?Hautaweza kujenga ukuta
Kweli kabisaHiyo nyumba mbona kubwa sana? Vyumba vinne vya kulala vya nini vyote hivyo?
Hiyo hela inatosha nyumba ya vyumba viwili, sitting cum dinning, jiko na choo cha kushare. Hapo unamaliza kabisa.
Jambo la kuzingatia kama una hiyo fedha cash, nunua materials zote kwa jumla na fanya utafiti wa bei hasa mfano kuagiza vitu kama vifaa vya maji, umeme, bati, tires etc. Mfano unaagiza vyote DSM na bei ya usafirishaji kama 500k kwa pamoja utasave sana.
Usinunue materials mikoani kwa rejareja, hiki ndio kinakula fedha za finishing.
Hata me naonaInatosha. Ishu itakuja kwenye quality ya finishing. Ili uwe na uhakika punguza chumba kimoja
Hahahahah....duuhhHaitoshi pesa ndogo sana hiyo, mi msingi tu umekula milioni 20.....alisikika mdada wa jf akiongea mwenyewe
Ndugu tafuta fundi wa uhakika utaweza kupata makadirio sahihi, huku jf chenga utaambiwa pesa ya mboga tu hiyo haijengi.... tumejaa wazee wakutishana, wazee wa kukatisha tamaaHahahahah....duuhh
Sure sisNdugu tafuta fundi wa uhakika utaweza kupata makadirio sahihi, huku jf chenga utaambiwa pesa ya mboga tu hiyo haijengi.... tumejaa wazee wakutishana, wazee wa kukatisha tamaa
Huu ni ushauri halisi japo kwako inaweza usiwe nzuri kulingana na matarajio yako. Nimefanya ujenzi wenye kufanana na specifications sawa na zako.Haitatosha.
Mimi siyo fundi ila nimeshiriki ujenzi kwa muda, milioni 25 kwa nyumba unayoifikiria haitoshi.
Ila utajenga mpaka kufikia kiwango cha kuweza kuhamia na kuishi.
Ongeza 5M. Maana kwa nyumba unayotaka kama uko Dar. Msingi na Boma itakula 11M. Mbao na bati itakula 10M. Zilizobaki 4 Ni madirisha na milango. Lazima uwe na 5M ya sakafu ukuta na chini. Hapo nyumba bado finishing haijapendeza kabisa ila utahamia.Hello quick thinkers na valuators wa JF, nina budget ya Tsh 25 millions. Kiwanja kipo tayari na eneo la ujenzi ni mkoa wa Mara.
Je hiyo budget inaweza kufinance ujenzi wa awali, kupaua na finishing katika nyumba yenye sifa zifuatazo:
1: Ukubwa wa mita 12 × 13
2: Master room moja
3: Single rooms tatu
4: Public toilet ya ndani moja
5: Average sized sitting room
6: Small dining room
7: Kitchen ya ndani ndogo
8: Fence
9: Isiyo ndefu kwenda juu (Bati chache)
35 million sio mbaya etiOngeza 5M. Maana kwa nyumba unayotaka kama uko Dar. Msingi na Boma itakula 11M. Mbao na bati itakula 10M. Zilizobaki 4 Ni madirisha na milango. Lazima uwe na 5M ya sakafu ukuta na chini. Hapo nyumba bado finishing haijapendeza kabisa ila utahamia.
ili utie na rangi, umeme na plumbing, gypsum na tiles it tale another 10M