Ukweli hiyo budget haitatosha kwa nyumba unayoitaka,unaweza ukaishia njiani(finishing haitamaliza) na mwaka huu vifaa vya ujenzi vimepanda sana bei (bati,gypsum powder,nondo,vifaa vya umeme,grill) otherwise ukilazimisha utatumia vifaa visivyo na ubora baadae ukapata shida ushauri wangu
Unaweza punguza room moja nyumba iwe 3 bedroom kwa siku hizi hakuna logic kujenga nyumba ya kuishi yenye vyumba 4
Gharama kubwa ya ujenzi inaanzia kwenye finishing (plasta,grill,kuezeka,skimming,brandaring,,umeme,maji,milango,madirisha (aluminium),tiles