Ujenzi wa nyumba: Budget ya milioni 25

Hongera mkuu, pia umenipa fundisho pia..

●Vitu kwa jumla
●Mafundi wenye ukaribu na mimi kama wapo..
 
Tafuta ramani kwanza ni vigumu kujua garama halisi ya nyumba Kama huna ramani. Tafuta ramani mm Ntakupigia gharama zote msingi hadi finishing kuanzia material hadi labour charge ukimtafuta fundi kabla hamjakubaliana unajua range ya bei kutokana na makadirio
 
kwamaelezo yako tuseme unataka kujenga nyumba ya upana WA mita 11*10 ambayo ni square meter 110 makadirio mpaka finishing kila kitu unaingia ndani itakuwa mil 31.9
Note: inaweza kushuka kidogo au kupanda kulingana na kubadilika kwa bei ya material na sijajua ukubwa na aina ya nymba unayohitaji hata kama materials zizidi vipi unafaa uwe na badget angalau mil 35 for any inconvenience
 
Kudos Frank.
 
@Frank mtanganyika chukulia mfano kama hiyo..alafu ukubwa wa 12 x 10.. niambie gharama mkuu
Evelyn Salt
Frank mtanganyika
 
@Frank mtanganyika chukulia mfano kama hiyo..alafu ukubwa wa 12 x 10.. niambie gharama mkuuView attachment 1938371
Evelyn Salt
Frank mtanganyika
@Frank mtanganyika chukulia mfano kama hiyo..alafu ukubwa wa 12 x 10.. niambie gharama mkuuView attachment 1938371
Evelyn Salt
Frank mtanganyika
Hiyo ni bajeti ya mil 34.8 inahitajika mpaka finishing hiyo ni estimate ya chini kabisa sema unatakiwa uwe na angalau mil 3 ya kuongezea hapokwahio range ya 34.8 mpaka 37mil
@Frank mtanganyika chukulia mfano kama hiyo..alafu ukubwa wa 12 x 10.. niambie gharama mkuuView attachment 1938371
Evelyn Salt
Frank mtanganyika
Kwa ramani hii ya Square meter 120 makadirio ya chini kabisa mpk materials ni mil 34.5 na ya juu kabisa mil 37 hii ni sehemu yoyote tanzania iwe ukerewe au dar garama zitatafautiana kidogo lkn range ya bei ndo hizo
Note: gharama zinahusisha sana muonekano wa nyumba na ukubwa wa nyumba yako
 
I
Inaweza, in fact ni nyingi sana hasa ukiamua kununua vifaa vya ujenzi wewe mwenyewe na kutoka labda Dar na pia ukasimamia hiyo kazi kwa karibu wewe mwenyewe, inatosha. Bye the way ni Mara wapi, kama ni Tarime, basi anagalia uwezekano wa kununua vifaa vingine vya ujenzi kutoka Kenya, inaweza kuwa cheap na kupunguza gharama za ujenzi.
 
Kingine uhitaji kuwa na hela zote kuhamia nyumba ya ndoto yako kwa kazi ninazo fanya na clients wangu huwa nawapigia gharama nzima ya nyumba nikitenga kila kipengele kwa kutofautisha materials na ufundi boss anaamua yeye kujikuna anapoweza

Kama huna hela zote kwa mkupuo jenga boma na kupaua weka grills na mlango wa mbele na mingine km unauwezo fanya finishing chumba chako na sebule alafu hamia kwingine utamalizia ukiwa ndani. Ukitaka umalize nyumba kila kitu uhamie utajikuta haumalizi kila siku wewe ni kujenga ila ukiwa ndani nyumba inaisha yenyew automatically kila siku unaamua kufanya stage moja. Moja moja nymb inaisha
 
Siku hizi..wamebana mpakani duh..mamwela kila kona
 
Boss kumbe ni proffesion yako.. itabid nikucheck..what else do you do boss?
 
ni nyingi sana ikiwa mkononi iweke kwenye utendaji uone ilivyo ndogo hio hela haiwezi tosha kukamilisha ujenzi woote kwa nyumba hiyo anayoitaka awe nangurukuru, tarime au karagwe cha kinachoweza kufanyika ni ujenzi wa awamu tu. Maana hiyo hela itaishia kwny grills na fremu za milango nymb nzima sana Sana na plumbing na Umeme akibana sana bado plaster nje, ndani bado tiles bado kufitisha masink
 
Hiyo nyumba inahitaji mfumo wa maji safi na maji taka built from ground. Sidhani kama anategemea mfumo wa manispaa/public.
Swali langu la kwanza (nataka niende taratibu, ili niweze kujifunza kitu) Unaweza kuniambia/kukadiria gharama ya mfumo wa maji safi na majitaka?

a. Septic tank na karo au at least karo peke yake.
b. Kisima (na pump yake).
c. Elevated tank (tank na tower)
d. Pipes zote kwa ujumla
e. Fittings za bafuni, chooni (vyoo viwili) na jikoni.
 
Boss kumbe ni proffesion yako.. itabid nikucheck..what else do you do boss?
ya ni professional yangu mkuu nimekuwa nikifanya na kampuni za wachina hapo dar but for now nipo arusha nafanya miradi ya serekali ya force account name ujenzi wa hospitali na shule na biashara za mazao hapa na pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…