Ujenzi wa nyumba: Budget ya milioni 25

Maji nitachimba kisima na kutumia pump yak kupeleka tenkini..then supply inside
 
Boss kumbe ni proffesion yako.. itabid nikucheck..what else do you do boss?
ya ni professional yangu mkuu nimekuwa nikifanya na kampuni za wachina hapo dar but for now nipo arusha nafanya miradi ya serekali ya force account name ujenzi wa hospitali na shule na
Ndio Unaweza mkuu makadirio yanajumuisha kila kitu pamoja na hayo uliyoyaeleza
 
Maji nitachimba kisima na kutumia pump yak kupeleka tenkini..then supply inside
Nataka mkuu aliyejibu hapo juu anipe mahesabu taratibu .
Kwa sababu, humu ukisema haitoshi huwa unadhihakiwa kana kwamba unajidai au unajipaisha. Nataka tuambiane ukweli tu.
 
Haitoshi, Hii nyumba ni kubwa (sqm 156). Kama utatumia material za kiwango cha kawaida kwa hela hiyo itafika kwenye lintel. Kama vitabaki vichenchi havitatosha kupaua.
 
Ukweli hiyo budget haitatosha kwa nyumba unayoitaka,unaweza ukaishia njiani(finishing haitamaliza) na mwaka huu vifaa vya ujenzi vimepanda sana bei (bati,gypsum powder,nondo,vifaa vya umeme,grill) otherwise ukilazimisha utatumia vifaa visivyo na ubora baadae ukapata shida ushauri wangu

Unaweza punguza room moja nyumba iwe 3 bedroom kwa siku hizi hakuna logic kujenga nyumba ya kuishi yenye vyumba 4

Gharama kubwa ya ujenzi inaanzia kwenye finishing (plasta,grill,kuezeka,skimming,brandaring,,umeme,maji,milango,madirisha (aluminium),tiles
 
Nataka mkuu aliyejibu hapo juu anipe mahesabu taratibu .
Kwa sababu, humu ukisema haitoshi huwa unadhihakiwa kana kwamba unajidai au unajipaisha. Nataka tuambiane ukweli tu.
Kwanza tuanze na vifaa vinayotumika:

Maji safi
-ppr au ips pipes and fittings
-Polly pipes
-Pumps
-Tank kubwa
-Koki
-washing sink
-kitchen sink

Maji taka
-PVC pipe 4" n fittings
-PVC pipe 1.5" n fittings
-chambers ndogo na mifuniko
-chaambers kubwa na mfuniko
-toilet sink

Nilizosahau ongeza...mwenye kujua idadi
 
Kama hizi alumium ndio mauaji kabisa yani
 
Nina fundi mzuri wa nyumba mkuu, sisemi mengi kuhusu yeye ukimhitaji niambie nikupe namba yake
 
Japo ni tangazo la fundi maiko...ila nimepatamo tuwili tutatu[emoji1690]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…