Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Thanks..Haitoshi mpaka finishing,ila boma na kupaua kwa nyumba ya vyumba vitatu na sitting room
Tafoutisha kujenga nyumba ya aina gani?Hello quick thinkers na valuators wa JF, nina budget ya Tsh 22.5 million, kiwanja kipo tayari na mazingira ya ujenzi ni mkoa wa Mara.
Je, kwa budget hiyo katika ujenzi wa mwanzo, fence hadi finishing..., je naweza kujenga nyumba ya ukubwa gani, vyumba vingapi, kiwango gani, etc..??
Hongera mkuu, so finishing inaweza ikakukanyaga shingapi mkuu.Mimi bila garama za kiwanja, nimetumia 23M, Nyumba ya vyumba vitatu, Sitting room na jiko. (Morogoro). Nimeshapiga Bati, Milango na Madirisha.
Bado silling board, Tiles na Rangi tu.
Nitofautishie mid class na wrking clssTafoutisha kujenga nyumba ya aina gani?
Residential (ya middle class bussiness class or working class)...
Tafoutisha kujenga nyumba ya aina gani?
Residential (ya middle class bussiness class or working class)...
Tafoutisha kujenga nyumba ya aina gani?
Residential (ya middle class bussiness class or working class)....
Ujenzi wa Nyumba Fedha nyingi zinahitajika hapo kwenye finishing. Pia Msingi na Mashimo ya choo. Kunyanyua ujenzi wala hakuna garama.Hongera mkuu, so finishing inaweza ikakukanyaga shingapi mkuu.
Pamoja mkuuUjenzi wa Nyumba Fedha nyingi zinahitajika hapo kwenye finishing. Pia Msingi na Mashimo ya choo. Kunyanyua ujenzi wala hakuna garama.
Gharama za ujenzi inategemea sana na Mkoa uliopo au Ramani ya Nyumba unayoitaka na kiwanja kipoje ( Kipo tambalale kuweza kupata level ya ujenzi?)
Umechukua mkopo benki gani! Haitoshi kabisa hiyo..utajenga hadi kupaua, na kuweka milango na grill za madirisha...then utasubiri tena mkopo mwingineHello quick thinkers na valuators wa JF, nina budget ya Tsh 22.5 million, kiwanja kipo tayari na mazingira ya ujenzi ni mkoa wa Mara.
Je, kwa budget hiyo katika ujenzi wa mwanzo, fence hadi finishing..., je naweza kujenga nyumba ya ukubwa gani, vyumba vingapi, kiwango gani, etc..??
Tupe ramani ndo tukushauriHello quick thinkers na valuators wa JF, nina budget ya Tsh 22.5 million, kiwanja kipo tayari na mazingira ya ujenzi ni mkoa wa Mara.
Je, kwa budget hiyo katika ujenzi wa mwanzo, fence hadi finishing..., je naweza kujenga nyumba ya ukubwa gani, vyumba vingapi, kiwango gani, etc..??
Mkuu umenichekesha, ila una pointTafoutisha kujenga nyumba ya aina gani?
Residential (ya middle class bussiness class or working class)...
Inatosha sema itategemea anataka aina gani ya materia.Haitoshi mpaka finishing,ila boma na kupaua kwa nyumba ya vyumba vitatu na sitting room
Sio kweli acha mkatisha tamaa mtu. Hiyo ni nyumba mpaka ana hamia sema hawezi jenga ukuta tu.Umechukua mkopo benki gani! Haitoshi kabisa hiyo..utajenga hadi kupaua, na kuweka milango na grill za madirisha...then utasubiri tena mkopo mwingine
So unataka kuniambia nitafanikisha hadi finishing sema tu fence ndio itanipa changamoto.Sio kweli acha mkatisha tamaa mtu. Hiyo ni nyumba mpaka ana hamia sema hawezi jenga ukuta tu.
Hiyo baba weka kaumi tena ndio umalizie wakati mjanja same amount anapata na kibanda cha kukodisha kwa 50 per month ukiwa smart mpaka lakiMimi bila garama za kiwanja, nimetumia 23M, Nyumba ya vyumba vitatu, Sitting room, Dinning room na jiko. (Morogoro). Nimeshapiga Bati, Milango na Madirisha.
Bado silling board, Tiles, Rangi na Fensi.
Acha kuchakachua njombaaaaUnatumia Tofali za aina gan
Unatumia msingi wa mawe
Kama block zitahitajika 4500
Kama Tofali za kuchoma 10,000...