Ujenzi wa nyumba: Budget ya Tsh 22,500,000/=

Ujenzi wa nyumba: Budget ya Tsh 22,500,000/=

Ina jenga hyoo nenda kaanze ujenz bana matumiz ila Bana matumiz
 
Hello quick thinkers na valuators wa JF, nina budget ya Tsh 22.5 million, kiwanja kipo tayari na mazingira ya ujenzi ni mkoa wa Mara.

Je, kwa budget hiyo katika ujenzi wa mwanzo, fence hadi finishing..., je naweza kujenga nyumba ya ukubwa gani, vyumba vingapi, kiwango gani, etc?
Jenga nyumbn ya room 2 /3 isiwe na mambo mengi pia usiwek kona nying kwaajil ya kupunguz gharam za mbao na bati ila ili uende vzr ongeza hapo million 3 utajeng kwa uhakika zaid
 
Rafu
NB. Kuna vtu vchache nmevisahau hapo

Hapo ongeza million 5 iwe 20 kamili
Kama room 3/2 samba na vtu muhm.
Makadirio ni haya

+Fundi wa chin hadi coz 3 za juu (kujenga) atalamba tshs M. 1.5+

+Matofali 2500/ Tshs M2.5.

+Mabat yako 90. Mil 3.5

+Cement mifuko 120. M. 1.8

+MCHANGA M³ 20 .TSHS 350,000/-

+KOKOTO M³ 10 . TSHS 500,000/-

+FUNDI WA KUPAUA NA BANDARING TSHS M2

+PLASTA NA FINISH LAK 7(fundi)

+DIRISHA ZA GRILL ZIWE 8 JUMLA TSHS 640,000/-


+DIRISH ZA ALLUMINIUM 8 TSHS M2NA 80, ELFU
+ FENI 3 TSHS 200,00/-

Hadi hapa inasoma tshs 15,570,000/- TUENDELEE

+ELECTRIC INSTALLATION TSHS 850,000) PAMOJA NA FUNDI

+Gypsum na white cement weka mifuko 5 yote Tshs 250,000/

+Gypsum board Tshs 500,000/-

+Pvc celling Tshs 150,000/-

+Tailisi box 12 tshs 300,000/-

+Milango 5 tshs M1.5

+Mbele na nyuma weka Geti lak 6

+Nondo za linta na nguzo 30, lak 8

JUMLA NI TSHS 20,520,000/-

Anza na bajet ya Million 20 ibane vzr utatoboa ila kumi na 15 jenga chumba sebule chumba sebule milango nje
 
Back
Top Bottom