Ujenzi wa nyumba: Budget ya Tsh 22,500,000/=

Mkuu mbona thread nyingi nyingi kwa wakati mmoja

 
Nitofautishie mid class na wrking clss
Middle class ni tabaka lenye watu wenye uwezo wa kupata basic neccessities( food residence clothing na sex) bila kuangaika sana. Hapa kwa Tz ni ma dactari (MD)beki meneja (sio tellers) laywers nk.....

Sio kila working class ni middle class wengi wages zao ni dogo(proletarians) hawana allowances eg waalimu, secritaries police nk. Nyumba zao ni tofauti na za other middle class.
 
Nadhani Ukiondoa fence,hicho kiasi kinatosha!
 
I am a business man who saves more than 1 million per month excluding taxes and other expenditures. So which class am I?
 
I am a business man who saves more than 1 million per month excluding taxes and other expenditures. So which class am I?
Utakua middle class, bila kujuumiza, ila kama u na-save hizo pesa kwa kujiumiza, unaishi kwa kupanga chumba na sebule network unafanya shopping yako gengeni, unatumia usafiri wa kubanaba na ku simama kwenye daladala, ujawahi kuenda holiday back to back years, unava mitumba nk, hayo maisha ya namna hiyo ni shida ata uki-save well but at expense of your healthy en welfare,
 
Inatosha vzur tu ukiijenga kwa akil..
1.fanya manunuz ya vifaa kwa akil na plan..sio leo unaenda nunua mifuko 20...kesho tena fund anakwambja onheza minngne 10..hzo garama za usafiri huwa znaongeza sana vost

2.avoid unnecessary kuta na vyumba...na design ya paa...(kupaua)..lisiwe complicated likala snaa mbao na bati

3.nunua vifaa vya kawaida. Sio tiles za gharaama..au bat ya mbwembwee

4.zijue hatua zote za ujenz..yaan kuanza na kip na kumaliza na kip..ili usifanye makosa ...sio upige rang then ndo uweke tiles itakula kwako etc...

5.tafuta wauzaj wa vifaa kwa bei ya jumla. Una burgain nao unavyotaka wew hawachomoi na hakikisha unanunua vifaa vyote kwao watakupa discount za ukwel tu

6.Hakikisha unanunua mwenyew vifaa vyote na material yote usimtume fundi
Na ili ujue bei ya vitu vyote maana binafs unaweza usivijue. Fanya research..take time uvijue ili isikupe shida kwenye kununua..maana wakijua hujui bei madukan huko lazima wakupige vibaya na hawana huruma


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi tatizo sio ideology ya class..tatizo ni wewe...unajifanya mjuaji. Kalale mapema.
 
Napoeleniiiiiiiiiiiiiiii.......whts up bra?
 
Ni bora vingi kwa mkupuo kwa bei ya jumla.
 
Ni bora vingi kwa mkupuo kwa bei ya jumla.
Ndio ndio..na upate fund mkwel..yaan kiufup fanya research ya ujenz mzima..ujue room 1 unakula tofal ngap.cement mifuko mingap..bat ngap..tiles box ngap etc..hyo itakusaidia muongozo wa ujenz...ila ukienda kichwa kichwa lazima upigwe vibaya na mafund..take ua time kujua kiiila kitu ndo uanze ujenz ili fund asikudanganye popote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli unaweza jikuta unatumia hata mara mbili ya gharama halisi
 
Mambo ya ujenzi yamezungunziwa sana humu, Mimi ningekuwa ndo wewe kwa hiyo pesa ningejenga frames za kupangisha hata 3-4 nikamaliza kila kitu nitapangisha nikawa naingiza income mfano 320K kwa mwezi nawwka lengo kwa Mwaka na nusu au miaka miwili nikusanye hiyo pesa then niongeze frames 1 au 2 lengo kufikia frames 10 hadi 12 baada ya hapo ndo nafikiria kujenga nyumba simple ya kuishi.

Ujenzi unaweza kuwa asset au liability inategemea unajenga nn kwa ramani ipi, itagharimu kiasi gani?
1. Asset when available fund ikimaliza ujenzi na kuanza kugenerate income
2. Liability when available fund isimalize ujenzi (kwa mtazamo wangu)
 
Huo Ni mtazamo wako na kila mmoja ana mtazamo wake katika maisha Sasa mwenzio mtazamo wake Ni kupata nyumba.

Mm ushaur wangu wewe Anza ujenz hata Kama hautamalizia finishing yote Ila Nina Imani zitakufisha mbali sana palipobakia utamalizia kidogo kidogo.

Cha msingi zingatia kununua matirial kwa jumla usinunue kidogodogo utaumia.

Nunua mabati ya Bei nafuu yanayoendana na uwezo wako usifosi kununua mabati ya garama kubwa.

Achana na maneno ya wanaokukatisha tamaa baadhi yao hata vibanda hawana kila baada ya miaka kadhaa wanaishia kulipa mamilioni ya pesa kwa wenye nyumba zao.
 
Thanks brah...
 
Mimi bila garama za kiwanja, nimetumia 23M, Nyumba ya vyumba vitatu, Sitting room, Dinning room na jiko. (Morogoro). Nimeshapiga Bati, Plasta, Milango, Madirisha na Blandaring.

Bado silling board, Tiles, Rangi na Fensi.
Tupe ukubwa wa nyumba..bas tujifunze na tofali ulizotumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…