Ujenzi wa nyumba hii unaweza kugharimu kiasi gani?

Ujenzi wa nyumba hii unaweza kugharimu kiasi gani?

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Nyumba ya 9m x 8m. Bati ya migongo mipana, vyumba 2 vya kulala, finishing ya mtanzania wa kawaida inaweza gharimu wastani wa kiasi gani kujenga?

Karibuni wakuu, maeneo ni kanda ya ziwa
 
We sema hela uliyonayo mfuko wa shati ujengewe nyumba.

wengine wanaweza tumia hadi mil 30 kwa Size hio hio unayotaka
 
Haujatoa maelezo ya kutosha kuhusu nyumba yako, kwamba nyumba ina Vyumba viwili vyenye Ukubwa gani, maana Kwa kusema 9X8 taarifa zinakuwa hazijakamilika maana ni nadra sana kukuta Chumba chenye Upana wa mita 8.

Walau ungesena Upana ni Mita 5 ama sita n.k au umetoa na kiveranda cha mita 2?
 
Back
Top Bottom