unajenga, vipi kiwanja unacho?Mie nina million 7 naweza jenga chumba self na sebule?
hiyo 5M itaishia kwenye hivo vioo na pengine isitosheInategemeana na urefu wako, ukijenga official kabisa kwa kufuata protocol inaweza fika 8-10M (mana utafuata protocol za ghorofa) ila kama itaamua kumtumia fundi maiko, halafu hicho chumba cha juu ukaweka sio kirefu sana bas hapo utakaa kwenye 5M hiv max
Nb. It is subject to changes kutokana ma maeneo
Ndio kiwa ja ninachounajenga, vipi kiwanja unacho?
kiko wapi? hapo unatakiwa upate mafundi wazuri lakini bei poa.Ndio kiwa ja ninacho
Ewa nataka kama hii mzeya. Haka kanifaa....ila mzee kweli m7 zinatosha kwa kufyatua hii kitukiko wapi? hapo unatakiwa upate mafundi wazuri lakini bei poa.View attachment 2659644
zinatosha mkuu apo bati inakuwa ina mwaga maji nyuma inawekewa gata, inakuwa chumba master , sebule na kitchen ndogo,kibaraza cha mbele .swala la fensi na decoration ya chini na maua hiyo gharama nyingineEwa nataka kama hii mzeya. Haka kanifaa....ila mzee kweli m7 zinatosha kwa kufyatua hii kitu
Hii ramani yake naipatajezinatosha mkuu apo bati inakuwa ina mwaga maji nyuma inawekewa gata, inakuwa chumba master , sebule na kitchen ndogo,kibaraza cha mbele .swala la fensi na decoration ya chini na maua hiyo gharama nyingine
Mimi mpango wangu ni kwamba imtolesheleze tu mtu wa futi sita kusimama bila kujibana mimi binafsi ni 5 ft 8Inategemeana na urefu wako, ukijenga official kabisa kwa kufuata protocol inaweza fika 8-10M (mana utafuata protocol za ghorofa) ila kama itaamua kumtumia fundi maiko, halafu hicho chumba cha juu ukaweka sio kirefu sana bas hapo utakaa kwenye 5M hiv max
Nb. It is subject to changes kutokana ma maeneo
Hadi hatua gani?Mie nina million 7 naweza jenga chumba self na sebule?
Hadi nahamia na kumkaribisha Cute WifeHadi hatua gani?
Siku ya kuzindua mjengo mnikaribishe tuje kuubariki kwa kupiga 3some na mrembo huyoHadi nahamia na kumkaribisha Cute Wife
mtafute architecture atakuchorea size inayoendana na budget yako na pia kiwanja chako.Hii ramani yake naipataje