Ujenzi wa nyumba kama hii unaweza kugharimu kiasi gani?

Ujenzi wa nyumba kama hii unaweza kugharimu kiasi gani?

Complete hadi rangi taa furnitures

Kama vioo ni tempered au laminated 10/12mm, jumla itafika around 80m

Kama vioo kawaida, below 10mm, haizidi 50m
 
Complete hadi rangi taa furnitures

Kama vioo ni tempered au laminated 10/12mm, jumla itafika around 80m

Kama vioo kawaida, below 10mm, haizidi 50m
Vipi usipoweka vioo ukaweka tu tofali za kawaida
 
Inategemeana na urefu wako, ukijenga official kabisa kwa kufuata protocol inaweza fika 8-10M (mana utafuata protocol za ghorofa) ila kama itaamua kumtumia fundi maiko, halafu hicho chumba cha juu ukaweka sio kirefu sana bas hapo utakaa kwenye 5M hiv max

Nb. It is subject to changes kutokana ma maeneo

Je kama uredu usipokuwa official protocol ya ghorofa,msingi si unaweza kuwa kama wa nyumba ya kawaida tu
?
 
Je kama uredu usipokuwa official protocol ya ghorofa,msingi si unaweza kuwa kama wa nyumba ya kawaida tu
?

Unataka kutengeneza kaburi mkuu [emoji276]kama huna pesa panga kama sisi tu usituone tuliopanga ni wajinga tunaepuka kukaa nyumba hatarishi
 
Unataka kutengeneza kaburi mkuu [emoji276]kama huna pesa panga kama sisi tu usituone tuliopanga ni wajinga tunaepuka kukaa nyumba hatarishi

Hapana ninataka tu kujua ili nichague option ambayo ni sahihi na salama kwa kujenga nyumba imara.Kwa sasa siwezi kupanga focus yangu ipo kwenye kujenga na kuhamia kwangu naamini ninaweza kwa msaada wa Mungu.
 
aisee ni vyema vijana mkapambana na kuhamia kwenu mimi naona kwa mdingi bado kunanoga
 
Back
Top Bottom