Ujenzi wa nyumba kama hii unaweza kugharimu kiasi gani?

Complete hadi rangi taa furnitures

Kama vioo ni tempered au laminated 10/12mm, jumla itafika around 80m

Kama vioo kawaida, below 10mm, haizidi 50m
 
Complete hadi rangi taa furnitures

Kama vioo ni tempered au laminated 10/12mm, jumla itafika around 80m

Kama vioo kawaida, below 10mm, haizidi 50m
Vipi usipoweka vioo ukaweka tu tofali za kawaida
 
Je kama uredu usipokuwa official protocol ya ghorofa,msingi si unaweza kuwa kama wa nyumba ya kawaida tu
?
 
Je kama uredu usipokuwa official protocol ya ghorofa,msingi si unaweza kuwa kama wa nyumba ya kawaida tu
?

Unataka kutengeneza kaburi mkuu [emoji276]kama huna pesa panga kama sisi tu usituone tuliopanga ni wajinga tunaepuka kukaa nyumba hatarishi
 
Unataka kutengeneza kaburi mkuu [emoji276]kama huna pesa panga kama sisi tu usituone tuliopanga ni wajinga tunaepuka kukaa nyumba hatarishi

Hapana ninataka tu kujua ili nichague option ambayo ni sahihi na salama kwa kujenga nyumba imara.Kwa sasa siwezi kupanga focus yangu ipo kwenye kujenga na kuhamia kwangu naamini ninaweza kwa msaada wa Mungu.
 
aisee ni vyema vijana mkapambana na kuhamia kwenu mimi naona kwa mdingi bado kunanoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…