Ujenzi wa nyumba kwa kutumia mbao Tanzania

Ujenzi wa nyumba kwa kutumia mbao Tanzania

Kujenga inawezekana Ila gharama Ni kubwa Sana ukipewa gharama yake unaweza kukimbia ndugu!
Nimewahi kujenga nyumba za aina hiyo Serengeti na Manyara national park tulitumia mbao ngumu (timbers wood)nje inapingwa rangi ya mafuta ndani inapigwa fanish Hawa tuliowajengea Ni wazungu.
Wakuu habari za Jumapili?

Samahani naomba mawazo ama ushauri ni wapi kwa Tanzania naweza kupata mtalaamu anayeweza kunijengea nyumba ya kawaida ndogo (vyumba 4) kwa kutumia materials kama zinavyoonekana kwenye picha.

Ama mawazo ya namna gani naweza kufanikisha wazo langu hili? Nitashukuru sana.

Asante.
View attachment 981269
 
Nadhani unatataka zile Jirani na kwenye Ile nyumba ya mbao... Ukifika tu mtaani ulizia kwenye nyumba ya mbao... Si Yule kaka anayeishi kwenye nyumba ya mbao... Ukifika kwenye nyumba ya mbao mkono wa kulia.
 
Nyumba ya mbao inawezekana kuanzia design yake mpaka ujenzi. Karibu tuyajenge
 
Back
Top Bottom