Ujenzi wa nyumba kwa kutumia mbao Tanzania

Kujenga inawezekana Ila gharama Ni kubwa Sana ukipewa gharama yake unaweza kukimbia ndugu!
Nimewahi kujenga nyumba za aina hiyo Serengeti na Manyara national park tulitumia mbao ngumu (timbers wood)nje inapingwa rangi ya mafuta ndani inapigwa fanish Hawa tuliowajengea Ni wazungu.
 
Nadhani unatataka zile Jirani na kwenye Ile nyumba ya mbao... Ukifika tu mtaani ulizia kwenye nyumba ya mbao... Si Yule kaka anayeishi kwenye nyumba ya mbao... Ukifika kwenye nyumba ya mbao mkono wa kulia.
 
Nyumba ya mbao inawezekana kuanzia design yake mpaka ujenzi. Karibu tuyajenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…