Ujenzi wa nyumba nzuri yenye vyumba vinne

Ujenzi wa nyumba nzuri yenye vyumba vinne

Wazoo zuri hongera Sana unawazo kama langu mkuu ukitaka ramani nzuri za bure download program inautwa pintest Baba wanalamaniiii nzuriii utakimbia nzuriii for free download iyo app ipo kwa simu yako
[emoji24] Pintest Babs[emoji15] . Huko ramani zimetulia! Za kufa mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar zenu wadau wa GT.
Nina milion 3 nipo Morogoro nampango wakujenga nyumba nzuri ya kisasa ila kwa taratibu.
Nyumba hiyo naomba Raman nzuri kwa mwenye nayo.
Idea niliyonayo ni kujenga Msingi wa nyumba nzima halafu nainua Chumba cha Master(Kinakuwa na choo chake) nakijenga mpaka mwisho ambapo nitahamia ili kukwepa kodi ila nitaweka Matoleo ya ukuta kuonyesha kuwa bado naendelea na Ujenzi wa ukuta wa vyumba vilivyobakia..
Naomba msaada wa Raman ila raman hiyo ya nyumba isizidi thaman ya milion 30.

3m hata material ya huo msingi haitoshi.
 
Back
Top Bottom