Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
Wanajamvi,
Nina kiwanja changu kule buyuni sasa nilikuwa nafikriia kujeanga nyumba ya matofali ya kuchoma. Kuna mwenye wazo wapi maeneo ya karibu naweza kuyapata matofali hayo (sio Morogoro) na bei yake ikoje?
Zamani nilikuwa nasikia kwau Kisarawe una matofali, sijui kama ni kweli?
Vile vile, niko wazi kwa ushauri wa aina nyingine.