Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
Quality ya tofari za kuchoma ni controversial, Kama mfuko unaruhusu na ungependa nyumba yako iwe imara na idumu jengea 'vibrated blocks' zenye kiwango kama za kombe, GNP, Mbezi Tile, Osambi, Twiga cement, 'msomali'
mkuu Sumba-Wanga!wewe ndo umepakiwa kwenye hiyo pikipiki au ndo unaiendesha!!
huyo jamaa kwenye avatar yako karibu atapasuka!!!Tehe tehe tehe.. none of the above. Kwani vipi
huyo jamaa kwenye avatar yako karibu atapasuka!!!
ha ha ha ha!!wanasema mwili wa kumtolea mtu police!!Mbona ndio mambo ya bongo na jamaa anaona sifa mbaya zaidi amepanda boda boda
Mbande mbele ya Mbagala langitatu
Matofari ya kuchoma hayana shida na bei chini ila yataongezea gharama kwenye lipu na wakati wa kunyanyua kwani yanakula cement nyingi kutokana na hayapo level moja kama ya block (kwenye lipu ili upate level nzuri unahitaji lipu yako iwe inch kadhaa) pia ni madogo hivyo cement utayotumia kujengea kozi nne za matofari ya kuchoma ni sawa na cement ya kujenga kozi 2 za matofari ya kuchoma)
Naumngana na wewe kutumia tofari hizo ulizoainisha au hizi za block za kawaida kwani faida yake ataiona kwenye finishing hasa lipu
Wanajamvi,
Nina kiwanja changu kule buyuni sasa nilikuwa nafikriia kujeanga nyumba ya matofali ya kuchoma. Kuna mwenye wazo wapi maeneo ya karibu naweza kuyapata matofali hayo (sio Morogoro) na bei yake ikoje?
Zamani nilikuwa nasikia kwau Kisarawe una matofali, sijui kama ni kweli?
Vile vile, niko wazi kwa ushauri wa aina nyingine.
mkuu kisarawe hakuna matofali mazuri ya kuchoma yaliyoko .ni low quality, ill kuna watu wanatenge.za matofali ya udongo uliochanganywanna cement ka order yako ...
Mkuu, kuna tofali za kupachika zinapatikana Tegeta. Au kwa usahihi zaidi unaweza kwenda kwa Wakala wa majengo pale Mwenge watakushauri vizuri zaidi.
Mm mwenyewe nina kiwanja Buyuni na nilijaribu kuwasiliana nao kipindi fulani lakini sasa nimehama so cjafuatilia tena
Yapate kituo cha Kipawa ukiwa unaelekea Buyuni.
Mkuu big up sana ngoja nitafute wataalamu wa kufanya mchanganuo
Mkuu unaweza ukawa na nr ya Kombe ?Quality ya tofari za kuchoma ni controversial, Kama mfuko unaruhusu na ungependa nyumba yako iwe imara na idumu jengea 'vibrated blocks' zenye kiwango kama za kombe, GNP, Mbezi Tile, Osambi, Twiga cement, 'msomali'