Beatus Alex
Member
- Jul 26, 2016
- 43
- 33
Niko Arusha, kisongo mkuuUnajinga wapi?
Asante mkuu, ngoja nitafute mtaalam anipe makisio nitarud tena. Shukrani kwa ushauri.Sio jambo rahisi kupata makadirio kwa kuangalia picha, nakushauri tumia wataalamu ili wakupe ushauri kulingana na vipimo vya mchoro wa nyumba unayokusudia kujenga, vipimo ndivyo vinaweza kutoa picha halisi ya gharama za ujenzi. Lakini pia kama utaweza ni muhimu kueleza eneo ambalo unataka kufanya mradi kwasababu gharama za vifaa zinapishana kulingana na maeneo mbalimbali
Hatari mkuu, Mimi nimejiandaa kwa bajet ya 10mAndaa milion 8 net tena inaweza isitoshe mkuu hyo ni kama upo dar ila kwa mikoani inazidi,
mimi nilijenga kimoja na choo tu ila mziki wake ulikuwa sio poa.
Hivi watu hua hamjui maana ya mtu kutafuta uelewa binafsi kwa majadiliano au vipi ?! Ndio jamaa atatafuta fundi wa kumpigia hesabu ila yeye kuleta hapa ni ili kupanua uelewa wake kabla ya kukutana na huyo fundi au hata baada ya kukutana nae. Sasa kama kila kitu ni kuuliza tu fundi uko wapi umuhimu wa jukwaa hili la ujenzi ?! Si lifutwe tutakua tunauliza mafundi. WaTanzania wenzangu wengi mapoyoyo sana.Sio jambo rahisi kupata makadirio kwa kuangalia picha, nakushauri tumia wataalamu ili wakupe ushauri kulingana na vipimo vya mchoro wa nyumba unayokusudia kujenga, vipimo ndivyo vinaweza kutoa picha halisi ya gharama za ujenzi. Lakini pia kama utaweza ni muhimu kueleza eneo ambalo unataka kufanya mradi kwasababu gharama za vifaa zinapishana kulingana na maeneo mbalimbali
Mbona unaonekana kama ume-overreact sana, binafsi i dont see any problem kwa alichokiandikaHivi watu hua hamjui maana ya mtu kutafuta uelewa binafsi kwa majadiliano au vipi ?! Ndio jamaa atatafuta fundi wa kumpigia hesabu ila yeye kuleta hapa ni ili kupanua uelewa wake kabla ya kukutana na huyo fundi au hata baada ya kukutana nae. Sasa kama kila kitu ni kuuliza tu fundi uko wapi umuhimu wa jukwaa hili la ujenzi ?! Si lifutwe tutakua tunauliza mafundi. WaTanzania wenzangu wengi mapoyoyo sana.
You dont see and you cant see becouse just like him/her you are stif-mindedMbona unaonekana kama ume-overreact sana, binafsi i dont see any problem kwa alichokiandika
Kweli uko sahihi Niko upande wakoYou dont see and you cant see becouse just like him/her you are stif-minded
Ujenzi sio bidhaa ndugu yangu ambayo gharama yake inaweza kufahamika kiurahisi au makisio yakapishana kidogo na uhalisia, tunaposhauri mtu kutumia wataalamu tunamsaidia ili awe na taarifa sahihi za anachotaka kufanya, humu ukiuliza kuna mtu atakupa majibu kulingana na uzoefu wake, shughuli za ujenzi zinapishana, kuna mtu leo anaweza kujenga nyumba ya vyumba 2 kwa milioni 10 akamaliza na kuhamia, mwengine akatumia milioni 30 na asihamie. Sasa kinachoweza kukupa usahihi au makisio karibu na ukweli ni Wataalamu, ima huyu ndugu angeweka hapa Ramani yake na akataja eneo alilopo angepata makisio ya gharama kulingana na uhalisia wa ukubwa wa nyumba yake, tatizo watanzania wengi tunajifanya wajuaji wa kila kitu wakati sio kweliHivi watu hua hamjui maana ya mtu kutafuta uelewa binafsi kwa majadiliano au vipi ?! Ndio jamaa atatafuta fundi wa kumpigia hesabu ila yeye kuleta hapa ni ili kupanua uelewa wake kabla ya kukutana na huyo fundi au hata baada ya kukutana nae. Sasa kama kila kitu ni kuuliza tu fundi uko wapi umuhimu wa jukwaa hili la ujenzi ?! Si lifutwe tutakua tunauliza mafundi. WaTanzania wenzangu wengi mapoyoyo sana.
mpe figure mkuuHivi watu hua hamjui maana ya mtu kutafuta uelewa binafsi kwa majadiliano au vipi ?! Ndio jamaa atatafuta fundi wa kumpigia hesabu ila yeye kuleta hapa ni ili kupanua uelewa wake kabla ya kukutana na huyo fundi au hata baada ya kukutana nae. Sasa kama kila kitu ni kuuliza tu fundi uko wapi umuhimu wa jukwaa hili la ujenzi ?! Si lifutwe tutakua tunauliza mafundi. WaTanzania wenzangu wengi mapoyoyo sana.