Ujenzi wa nyumba ya room mbili

Ujenzi wa nyumba ya room mbili

Beatus Alex

Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
43
Reaction score
33
Wanajamii habarini,
Samahani naomba kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya room mbili ambayo itakua na choo ndani na ka kibaraza kizuri cha kuvutia..
Atleast yenye muonekano kama pichani
Screenshot_20211227-194120_1.jpg
 
Sio jambo rahisi kupata makadirio kwa kuangalia picha, nakushauri tumia wataalamu ili wakupe ushauri kulingana na vipimo vya mchoro wa nyumba unayokusudia kujenga, vipimo ndivyo vinaweza kutoa picha halisi ya gharama za ujenzi. Lakini pia kama utaweza ni muhimu kueleza eneo ambalo unataka kufanya mradi kwasababu gharama za vifaa zinapishana kulingana na maeneo mbalimbali
 
Taja mahitaji na ukubwa wa kila sehemu, mfano chumba ukubwa 3/4msq, rangi aina ya fali bat na n.k. Utapata muongozo. Na kzma una kiwanja au huna
 
Sio jambo rahisi kupata makadirio kwa kuangalia picha, nakushauri tumia wataalamu ili wakupe ushauri kulingana na vipimo vya mchoro wa nyumba unayokusudia kujenga, vipimo ndivyo vinaweza kutoa picha halisi ya gharama za ujenzi. Lakini pia kama utaweza ni muhimu kueleza eneo ambalo unataka kufanya mradi kwasababu gharama za vifaa zinapishana kulingana na maeneo mbalimbali
Asante mkuu, ngoja nitafute mtaalam anipe makisio nitarud tena. Shukrani kwa ushauri.
 
Andaa milion 8 net tena inaweza isitoshe mkuu hyo ni kama upo dar ila kwa mikoani inazidi,

mimi nilijenga kimoja na choo tu ila mziki wake ulikuwa sio poa.
Hatari mkuu, Mimi nimejiandaa kwa bajet ya 10m
Nikajua ntapiga na finish nzuri na madoido kidogo ya nakshi[emoji848]
 
Sio jambo rahisi kupata makadirio kwa kuangalia picha, nakushauri tumia wataalamu ili wakupe ushauri kulingana na vipimo vya mchoro wa nyumba unayokusudia kujenga, vipimo ndivyo vinaweza kutoa picha halisi ya gharama za ujenzi. Lakini pia kama utaweza ni muhimu kueleza eneo ambalo unataka kufanya mradi kwasababu gharama za vifaa zinapishana kulingana na maeneo mbalimbali
Hivi watu hua hamjui maana ya mtu kutafuta uelewa binafsi kwa majadiliano au vipi ?! Ndio jamaa atatafuta fundi wa kumpigia hesabu ila yeye kuleta hapa ni ili kupanua uelewa wake kabla ya kukutana na huyo fundi au hata baada ya kukutana nae. Sasa kama kila kitu ni kuuliza tu fundi uko wapi umuhimu wa jukwaa hili la ujenzi ?! Si lifutwe tutakua tunauliza mafundi. WaTanzania wenzangu wengi mapoyoyo sana.
 
Mbona unaonekana kama ume-overreact sana, binafsi i dont see any problem kwa alichokiandika
 
Hivi watu hua hamjui maana ya mtu kutafuta uelewa binafsi kwa majadiliano au vipi ?! Ndio jamaa atatafuta fundi wa kumpigia hesabu ila yeye kuleta hapa ni ili kupanua uelewa wake kabla ya kukutana na huyo fundi au hata baada ya kukutana nae. Sasa kama kila kitu ni kuuliza tu fundi uko wapi umuhimu wa jukwaa hili la ujenzi ?! Si lifutwe tutakua tunauliza mafundi. WaTanzania wenzangu wengi mapoyoyo sana.
Ujenzi sio bidhaa ndugu yangu ambayo gharama yake inaweza kufahamika kiurahisi au makisio yakapishana kidogo na uhalisia, tunaposhauri mtu kutumia wataalamu tunamsaidia ili awe na taarifa sahihi za anachotaka kufanya, humu ukiuliza kuna mtu atakupa majibu kulingana na uzoefu wake, shughuli za ujenzi zinapishana, kuna mtu leo anaweza kujenga nyumba ya vyumba 2 kwa milioni 10 akamaliza na kuhamia, mwengine akatumia milioni 30 na asihamie. Sasa kinachoweza kukupa usahihi au makisio karibu na ukweli ni Wataalamu, ima huyu ndugu angeweka hapa Ramani yake na akataja eneo alilopo angepata makisio ya gharama kulingana na uhalisia wa ukubwa wa nyumba yake, tatizo watanzania wengi tunajifanya wajuaji wa kila kitu wakati sio kweli
 
Hivi watu hua hamjui maana ya mtu kutafuta uelewa binafsi kwa majadiliano au vipi ?! Ndio jamaa atatafuta fundi wa kumpigia hesabu ila yeye kuleta hapa ni ili kupanua uelewa wake kabla ya kukutana na huyo fundi au hata baada ya kukutana nae. Sasa kama kila kitu ni kuuliza tu fundi uko wapi umuhimu wa jukwaa hili la ujenzi ?! Si lifutwe tutakua tunauliza mafundi. WaTanzania wenzangu wengi mapoyoyo sana.
mpe figure mkuu
 
Habarini wakuu, mukihitaji ramani nzuri msisite kututafuta kwa 0715477041, pia mwaweza tembelea link hii kujionea baadhi ya kazi zetu

Back
Top Bottom