Ujenzi wa nyumba yenye ghorofa tano

Ujenzi wa nyumba yenye ghorofa tano

kuna ghorofa ipo biafra sidhani kama inafika hata 15 kwa 15, lakini limekwenda juu ghoroea 14
Nadhani ndiyo maana kuna ndugu hapo juu kashauri amuone mzee wa jadi mshana ili kufanikisha hilo jambo
Plot ya 20 kwa 20 unapanga kujenga ghorofa ya floor 5!!!!
Me mwenyewe nimestuka sana kama sio kushangaa
Kwenye ujenzi wa nyumba au structure yeyote kinacho matter sio ukubwa kiwanja bali ni uwezo wa ardhi kubeba jengo husika (soil bearing capacity).

Unaweza ukawa na hilo eneo na kama vipimo vya udongo vikionyesha ardhi ina uwezo wa kubeba gorofa tano basi zitajengwa bila shida... kama vipimo vikionyesha ardhi inaweza kubeba gorofa 10 basi zitajengwa bila shida.

Kwanini reli yenye sentimeta kadhaa lakini inabeba treni lenye tani kadhaa?!

Think!
 
Back
Top Bottom