Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna material yanakuwa kama lami hizi ile belt inayozungushwa kwenye msingi kabla ya kupandisha tofali, unapaswa kupiga hiyo na kubadili kila mwaka kwa mujibu wa wataalamu, wanasema gharama yake ni kama 30,000 kwa square nini sijui.Kwenye nyumba za ghorofa kuta zinakabiliana vipi na jua na mvua?
Nilifika darasa la sabaTupe kwanza kiwango cha elimu yako.
Mimi pia nimeishia la saba na ninapenda sana udaktari,ninaweza kuanza kufanyia watu operation?Nilifika darasa la saba
Ahsante kwa maelezo mazuri kabisaUwe unawaambia pia kwamba zinahitaji kemikali maalumu kuunga paa na kuta zisivuje.
Pia uwaeleze kwamba kwa kuwa hazina roof overhang zinahitaji kupakwa rangi maalumu ambazo zitahimili jua na mvua/unyevu kwa kuwa kutazake zina direct contact na jua na mvua tofauti na traditional houses
La mwisho uwaeleze wateja wako kwamba hizo nyumba mara nyingi zinakuwa na extra costs Ili zipendeze yaani makuta kuta,maurembo mengi na finishing ya nguvu.Kiufupi gharama za ufundi ni kubwa zaidi kuliko nyumba za kawaida.
Mwisho wa siku unakuta ule unafuu wa gharama ya paa ume offset kwenye finishing tena ya nje ambapo on average zina gharama kubwa kuliko nyumba za kawaida.
All in all ni nyumba nzuri kama una pesa ila kama pesa ya kuunga bora ujenge traditional houses
hii ni kweli ,nimewahi kumuonyesha dada mmoja hivi akasema nyumba gani hata haina paa [emoji28][emoji28]Nyumba hizi zinahitaji mtaalam hasa wa kujenga ,pia finisha n urembo inapendezesha sana ,nyumba hizi zinapendeza hasa ikiinuka yaani msingi uwe juu kwa nyumba ya chini ,ila kwa ghorofa zinapendeza sana.
Ila mademu wengi wanapenda nyumba za kuonekana PAA.
Nyumba hizi zinahitaji mtaalam hasa wa kujenga ,pia finisha n urembo inapendezesha sana ,nyumba hizi zinapendeza hasa ikiinuka yaani msingi uwe juu kwa nyumba ya chini ,ila kwa ghorofa zinapendeza sana.
Ila mademu wengi wanapenda nyumba za kuonekana PAA.
Unavowaza mademu[emoji57][emoji57][emoji57]
Mimi nimeanza msingi baada ya mwaka ama miaka miwili[emoji3] nikishajichanga changa napandisha boma. Kwa kuwa nimeipenda ya huko mbele sijui mvua na jua,joto,gharama za finishing potelea pote nitaienga hata kwa miaka 10 mana nimeipenda mwenyewe[emoji23][emoji23]
Hapo kweli ni kamari sana japo inasemekana umakini unatakiwa ktk kumpata Fundi mana si kila Fundi anaweza kujenga hizi nyumba hasa kwenye kuezeka. Mimi nimekubali kuicheza hiyo kamari[emoji3]Wewe na mimi tuko chungu kimoja
Hizi Nyumba nazipenda Sanaaaaa Ila nikisikia huko kuvuja naingiwa nyongo sana
Hata mimi naitaka sana Potelea mbali ikivuja mbele kwa mbeleHapo kweli ni kamari sana japo inasemekana umakini unatakiwa ktk kumpata Fundi mana si kila Fundi anaweza kujenga hizi nyumba hasa kwenye kuezeka. Mimi nimekubali kuicheza hiyo kamari[emoji3]
PhDHujajibu swali langu.Nimekuuliza una elimu ya kiwango gani katika masuala ya ujenzi wa nyumba.
Wewe ni kibaka unaejificha kwenye chaka la ujenzi wa nyumba!
Hapana hizi zilikuwepo zamani ndio zinarudi sasa .Mimi nahisi hizi nyumba sio mda mrefu zitapitwa na wakati.