Ujenzi wa nyumba za kuficha paa/contemporary/ hidden roof

Kwenye nyumba za ghorofa kuta zinakabiliana vipi na jua na mvua?
Kuna material yanakuwa kama lami hizi ile belt inayozungushwa kwenye msingi kabla ya kupandisha tofali, unapaswa kupiga hiyo na kubadili kila mwaka kwa mujibu wa wataalamu, wanasema gharama yake ni kama 30,000 kwa square nini sijui.
 
Nyumba hizi zinahitaji mtaalam hasa wa kujenga ,pia finishing urembo inapendezesha sana ,nyumba hizi zinapendeza hasa ikiinuka yaani msingi uwe juu kwa nyumba ya chini ,ila kwa ghorofa zinapendeza sana.

Ila mademu wengi wanapenda nyumba za kuonekana PAA.
 
Ahsante kwa maelezo mazuri kabisa
 
hii ni kweli ,nimewahi kumuonyesha dada mmoja hivi akasema nyumba gani hata haina paa [emoji28][emoji28]
 

Unavowaza mademu[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Mimi nimeanza msingi baada ya mwaka ama miaka miwili[emoji3] nikishajichanga changa napandisha boma. Kwa kuwa nimeipenda ya huko mbele sijui mvua na jua,joto,gharama za finishing potelea pote nitaienga hata kwa miaka 10 mana nimeipenda mwenyewe[emoji23][emoji23]
 
Wewe na mimi tuko chungu kimoja
Hizi Nyumba nazipenda Sanaaaaa Ila nikisikia huko kuvuja naingiwa nyongo sana
 
Mimi nahisi hizi nyumba sio mda mrefu zitapitwa na wakati.
Hapana hizi zilikuwepo zamani ndio zinarudi sasa .

Nyumba za mapaa marefu ndio zinapitwa na wakati kwa sababu hazina jipya kwenye finishing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…