Habari za mchana wadau,
Kama mnavyojua vijana siku hizi tunachakarika ili tuweze kukaa kwenye nyumba zetu, ila sijaona uzi unaozungumzia ujenzi wa nyuma, watu kupeana ideas mbalimbali za ujenzi, kushare ramani za nyumba (ukipenda) na vitu vingine
Sasa kwa kuanzia mimi nataka nijenge nyumba ya vyumba vinne, je ni naweza kupata ideas ya ramani hivi
unaweza kunisahihisha popote